hivi kweli mtu unakaa unasubiri mwenzako afeli, kama sio roho mbaya ni niniNasubiri siku ya kutoa faraja, nitatimiza jukumu langu.
Humu tulikubaliana kuwa taarifa ya muajiriwa inafika kituo cha kazi kabla ya Utumishi kutoa pdf...Tuwe wapole naona waliobakia watapigiwa simu[emoji38][emoji38](joke)...Nilisema humu kuwa MDA & LGA shughuli ndio imeisha kibabe kuna watu wakanitolea povu,nikasema mngejua...
Duuu!Kweli kabisa, mtu hajui kutuma EMAIL just fikiria, hawezi hata kujumlisha kwa EXCEL yaani ni VITUKO kwa kweli.
Kwamba wamesitisha zoezi la kutoa mikeka ya placement kwa ajili ya kujikita katika kufanya mazungumzo na "wakengeufu" ?Humu tulikubaliana kuwa taarifa ya muajiriwa inafika kituo cha kazi kabla ya Utumishi kutoa pdf...Tuwe wapole naona waliobakia watapigiwa simu[emoji38][emoji38](joke)...
Utumishi bado wanaomba maridhiano na taasisi zinazokengeuka...
Mungu asaidie tunapita kwenye giza nene sana vijana
Hili Jambo la msingi sanaMSAADA mbona kwenye portal yao sijaona sehemu ya kuapload vyeti
VIP kuhusu kuweka passport size unaweka VIP mkuu mnk walisema uweke a recent passport sizeSehemu ya kuweka vyeti, barua na mazaga mengine utaikuta mwisho kama umeshamaliza kujaza zile sehemu za mandatory yaani zenye mark ya * nyekundu then nenda sehemu ya search job kwenye menu ya portal then chagua post unayotaka kuapply then itafunguka ndio utaona hizo sehemu za attachments nadhani utakuwa umeelewa
Mafundi mchundo mna visa sana, Degree zinawauma Roho. Afu office huwezi kua wewe unayejiona master kila kitu unakijua inabd kuwafanya wengine pia wakijue ambapo pia inahitaji muda.. Ndio nyie mnaojifanya msipokuepo na vitu haviendi.. Bila any restrictions mtu hatashindwaje kuwasha pc, kufungua eMail, bila kupewa format husika utashindwaje kuaandika report.. Unaweza pata lolote na usiwepo ofisini cha msingi gawa ujuzi! Sio kuita watu vilaza kama wewe ndo ushamaliza kila kitu.Watu wenye DIGRII hata kutumia kompyuta hawajui, yaani kuwasha shida, kutype shida, kufungua Email shida.
Andaa ripoti hajui, haya kitabu cha makadirio hiko hapo fanya makadiriko ni mziki.
Hapa utasemaje kama sio VILAZA?
Vitu vingine sio vya kuchekea.
Ukichunguza vizuri utajua watu wenye hoja hizi deep down wana roho mbaya,ni abusers kisa wamekaa ofisini wakapata uzoefu wa kazi kwahiyo akija mtu mgeni hana uzoefu wanamuona mjinga na kilaza kana kwamba kujua excel ndio kipimo cha akili/ uwezo.Watu wenye DIGRII hata kutumia kompyuta hawajui, yaani kuwasha shida, kutype shida, kufungua Email shida.
Andaa ripoti hajui, haya kitabu cha makadirio hiko hapo fanya makadiriko ni mziki.
Hapa utasemaje kama sio VILAZA?
Vitu vingine sio vya kuchekea.
Ukichunguza vizuri utajua watu wenye hoja hizi deep down wana roho mbaya,ni abusers kisa wamekaa ofisini wakapata uzoefu wa kazi kwahiyo akija mtu mgeni hana uzoefu wanamuona mjinga na kilaza kana kwamba kujua excel ndio kipimo cha akili/ uwezo.
Wewe zamani huko uliijua excel? Si uliijua baada ya kufundishwa au kujifubdishamiamo ulipoanza kushika kompyuta regularly?
Ni hivi: kama unayasoma vizuri matangazo ya ajira nyingi ni ajira mpya waombaji ni fresh from school hawana uzoefu wa kazi ila ni proffessionals.Ndio maana tunahitaji tufanyiwe induction tukifika ofisini,pia kuelekezwa basics za kazi.Kuna shift kidogo kutoka ecademia kwenda kuifanya kazi hivyo mwanzoni hiyo hali ipo ni lazima mtu apikwe kidogo.
Na ukute kwa roho mbaya mtu aliyonayo anafanya kusudi kumpa mwajiriwa mpya likazi gumu bila kumwelekeza dondoo.
Kuna mtu alikuwa anasema "miafrika ndivyo tulivyo'
Nimesema wapi kuwa nasubiri wafeli?hivi kweli mtu unakaa unasubiri mwenzako afeli, kama sio roho mbaya ni nini
Aaah weee ndio digrii kabisa asijue kompyuta basi kweli Kuna utitiri wa vilaza, uelekezwe tunawasha hivi, email hivi, na Excell hivi? Hapana sio sawa. Induction ni sawa lakini sio kama. Ulivyofafanua wewe .Ukichunguza vizuri utajua watu wenye hoja hizi deep down wana roho mbaya,ni abusers kisa wamekaa ofisini wakapata uzoefu wa kazi kwahiyo akija mtu mgeni hana uzoefu wanamuona mjinga na kilaza kana kwamba kujua excel ndio kipimo cha akili/ uwezo.
Wewe zamani huko uliijua excel? Si uliijua baada ya kufundishwa au kujifubdishamiamo ulipoanza kushika kompyuta regularly?
Ni hivi: kama unayasoma vizuri matangazo ya ajira nyingi ni ajira mpya waombaji ni fresh from school hawana uzoefu wa kazi ila ni proffessionals.Ndio maana tunahitaji tufanyiwe induction tukifika ofisini,pia kuelekezwa basics za kazi.Kuna shift kidogo kutoka ecademia kwenda kuifanya kazi hivyo mwanzoni hiyo hali ipo ni lazima mtu apikwe kidogo.
Na ukute kwa roho mbaya mtu aliyonayo anafanya kusudi kumpa mwajiriwa mpya likazi gumu bila kumwelekeza dondoo.
Kuna mtu alikuwa anasema "miafrika ndivyo tulivyo'
Ulimbukeni tu na ushambaUkichunguza vizuri utajua watu wenye hoja hizi deep down wana roho mbaya,ni abusers kisa wamekaa ofisini wakapata uzoefu wa kazi kwahiyo akija mtu mgeni hana uzoefu wanamuona mjinga na kilaza kana kwamba kujua excel ndio kipimo cha akili/ uwezo.
Wewe zamani huko uliijua excel? Si uliijua baada ya kufundishwa au kujifubdishamiamo ulipoanza kushika kompyuta regularly?
Ni hivi: kama unayasoma vizuri matangazo ya ajira nyingi ni ajira mpya waombaji ni fresh from school hawana uzoefu wa kazi ila ni proffessionals.Ndio maana tunahitaji tufanyiwe induction tukifika ofisini,pia kuelekezwa basics za kazi.Kuna shift kidogo kutoka ecademia kwenda kuifanya kazi hivyo mwanzoni hiyo hali ipo ni lazima mtu apikwe kidogo.
Na ukute kwa roho mbaya mtu aliyonayo anafanya kusudi kumpa mwajiriwa mpya likazi gumu bila kumwelekeza dondoo.
Kuna mtu alikuwa anasema "miafrika ndivyo tulivyo'
Unataka kutetea ujinga mkuu, yaani Degree holder hawezi kutumia computer then uone kitu cha kawaida kweli? Tusijitoe akili kiasi hiki ndugu zangu.Ukichunguza vizuri utajua watu wenye hoja hizi deep down wana roho mbaya,ni abusers kisa wamekaa ofisini wakapata uzoefu wa kazi kwahiyo akija mtu mgeni hana uzoefu wanamuona mjinga na kilaza kana kwamba kujua excel ndio kipimo cha akili/ uwezo.
Wewe zamani huko uliijua excel? Si uliijua baada ya kufundishwa au kujifubdishamiamo ulipoanza kushika kompyuta regularly?
Ni hivi: kama unayasoma vizuri matangazo ya ajira nyingi ni ajira mpya waombaji ni fresh from school hawana uzoefu wa kazi ila ni proffessionals.Ndio maana tunahitaji tufanyiwe induction tukifika ofisini,pia kuelekezwa basics za kazi.Kuna shift kidogo kutoka ecademia kwenda kuifanya kazi hivyo mwanzoni hiyo hali ipo ni lazima mtu apikwe kidogo.
Na ukute kwa roho mbaya mtu aliyonayo anafanya kusudi kumpa mwajiriwa mpya likazi gumu bila kumwelekeza dondoo.
Kuna mtu alikuwa anasema "miafrika ndivyo tulivyo'
Kaka tumekaa miaka 3 hadi 4 Chuoni umeshindwa utaweza ndani ya siku 2? Tusidanganyane kaka, siwaiti hao jamaa vilaza kama anavyowaita huyo mdau, ila ni uzembe na haupaswi kutetewa.Kujua Excel na hizo Microsoft packages ndio kuna ugumu gani sasa ,au ni kitu cha ajabu ? ,Hivyo si vitu mtu ana master ndani ya siku kadhaa tu ,
Jitu lina ita mtu kilaza ,aisee .
statement yako inamaanisha nini, asubuhi njemaNimesema wapi kuwa nasubiri wafeli?