HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unataka tuizungumzie kesi ya MAMA BONGE au ishu zihusuzo kodi kwa ujumla?

Kama kuhusu mteja fulani mamlaka ina Kitengo cha Elimu kwa Mlipakodi na wasemaji wa Taasisi.

Kama kuhusu kodi kwa ujumla bila kuhusisha kesi twenzetu.
We tu Mi nipo free Chochote tunaweza zungumzia lkn usi Underrate Maswali ya UE Labda useme km mitihani inauzwa mapema hapo ndy inaweza kuwa Changamoto lkn mitihani ipo standard sn ndy maana wanaopata Pass Marks ni wachache
 
Ooops mm sio muomba ajira. Naeleza namna vijana tunaoletewa makazini walivyo Vilaza. Sio kwamba wote HAPANA ila wengi ni VILAZA.
Unakuta walioajiriwa ni 50 basi smart unaweza wakuta 20 out of 50.

So hapo tunasema Taasisi inaletewa watu vilaza.

Ni kweli mnaletewa watu hata kutumia kompyuta hawajui??
 
Ooops mm sio muomba ajira. Naeleza namna vijana tunaoletewa makazini walivyo Vilaza. Sio kwamba wote HAPANA ila wengi ni VILAZA.
Unakuta walioajiriwa ni 50 basi smart unaweza wakuta 20 out of 50.

So hapo tunasema Taasisi inaletewa watu vilaza.
🙌 hapo nimekuelewaa kk changamoto pepa kufujaa
 
We tu Mi nipo free Chochote tunaweza zungumzia lkn usi Underrate Maswali ya UE Labda useme km mitihani inauzwa mapema hapo ndy inaweza kuwa Changamoto lkn mitihani ipo standard sn ndy maana wanaopata Pass Marks ni wachache
Mitihani haiko standard, mwanzoni tuliwalalamikia tunahitaji wahasibu kwanini mnawauliza Types za Research? Kama mnapima uelewa kwann msiulize kuhusu Accounting cycle?

Kuanzia mwaka jana wakaanza kuuliza maswali ya UE. The Problem with it ni kwamba CHUO ambacho watapewa kuandaa maswali, waandaaji wanaandaa kama ni paper ya UE badala ya AJIRA. AJIRA inahitaji zaidi kuelewa kile ulichofundishwa darasani. Maswali ya Ulewa ndio sasa yanatofautisha GPA za Vyuo mbalimbali. Ufundishaji na uwasilishaji wa maswali unatofautina kati ya chuo na chuo hivyo basi ni vyema zaidi kutumia maswali ya UELEWA ZAIDI kuwapima watu kuliko kuriri point.

Nilitoa mfano, kama unataka kuuliza faida za kodi. Unaweza ukauliza kwa namna ya kupima uelewa na sio direct question.

Na sio kwamba UTUMISHI wameharibu sana hapana, wapo watu wazuri wapo makazini na wanapiga kazi, ila aina ya maswali bado yanaondoka na watu wasiojielewa.

Wakibadilisha aina za maswali, na wakiondoa hali ya kuvujisha mitihani tunaweza kupata watu bora kabisa.

Utumishi kwenye suala la kuleta watu wa kanda moja kwa kiasi chao wamekipunguza kwa angalau 50% to 70% kipengele hiko wamekimudu sana. Ingawa kuna udanganyifu wa hiyo mitihani hali inayopelekea shida makazini.
 
Watu wenye DIGRII hata kutumia kompyuta hawajui, yaani kuwasha shida, kutype shida, kufungua Email shida.
Andaa ripoti hajui, haya kitabu cha makadirio hiko hapo fanya makadiriko ni mziki.
Hapa utasemaje kama sio VILAZA?
Vitu vingine sio vya kuchekea.
 
hhhhhhhh broo na mm napata picha kuhusu wewe kwa namna hii utachapika na interview za psrs hadi uombe pooh😂😂😂( jokes. )

Shortly maudhui ya post yako hii ni kwamba kuna watu wanafaulu kwa kupewa mitihani before na sio maswali hayana viwango kama ulivyodai mwanzo.

ikiwa unaegemeaa kwenye hilo ni sawa uje na hoja kwamba mitihani ya usaili wa psrs inavuja ila usiseme haina viwango hautoeleweka.
ujamkoti sehemu kasema tunaletewa vilaza means anajifanya yuko TRA

kubali kataa ,kama hujajipanga utaishia kulaumu sana PSRS

nivema akajipanga upya kushindana na nyomi inayo hudhuria pepa kuliko akawa mtu wa lawama na kushinikiza PSRS waulize maswali ya why we should hire you!!!

hivi uulizwe kwenye oral mybe incidence of indirect taxes to consumers? ways to widen tax base utafeli eti kwasababu itawafaa walio kalili kwelii? hawa ma intern wa TRA inaonekana wengi mavilaza baba zao wamefaiti mpaka TRA imepata autonomy ya kuajiri
 
ujamkoti sehemu kasema tunaletewa vilaza means anajifanya yuko TRA

kubali kataa ,kama hujajipanga utaishia kulaumu sana PSRS

nivema akajipanga upya kushindana na nyomi inayo hudhuria pepa kuliko akawa mtu wa lawama na kushinikiza PSRS waulize maswali ya why we should hire you!!!

hivi uulizwe kwenye oral mybe incidence of direct taxes to consumers? ways to widen tax base utafeli eti kwasababu itawafaa walio kalili kwelii? hawa ma intern wa TRA inaonekana wengi mavilaza baba zao wamefaiti mpaka TRA imepata autonomy ya kuajiri
Kuna vitu vingi vinafanya mtu kuwa Kilaza, na hapo hatujasema wote lkn wengi wao. Umeona hapo mtu hajui hata kutumia kompyuta? Utasemaje yuko Smart? Njia za usaili ziboreshwe zaidi kupata cream nzuri.
BOT pamoja na kuajiri wenyewe lkn usaili wao unaona kabisa kama hujielewi hutoboi.
 
Kama hzi ajira mpya TRA hawa vijana hamna kitu kabisa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]. Unaona kabisa mtu yuko kazin kama anasubir mshahara, customer care hakuna kabisa.
Hapana mkuu, TRA inaupungufu mkubwa wa wafanyakazi, vitengo vingi TRA vimeelemewa na majukumu
 
Mitihani haiko standard, mwanzoni tuliwalalamikia tunahitaji wahasibu kwanini mnawauliza Types za Research? Kama mnapima uelewa kwann msiulize kuhusu Accounting cycle?

Kuanzia mwaka jana wakaanza kuuliza maswali ya UE. The Problem with it ni kwamba CHUO ambacho watapewa kuandaa maswali, waandaaji wanaandaa kama ni paper ya UE badala ya AJIRA. AJIRA inahitaji zaidi kuelewa kile ulichofundishwa darasani. Maswali ya Ulewa ndio sasa yanatofautisha GPA za Vyuo mbalimbali. Ufundishaji na uwasilishaji wa maswali unatofautina kati ya chuo na chuo hivyo basi ni vyema zaidi kutumia maswali ya UELEWA ZAIDI kuwapima watu kuliko kuriri point.

Nilitoa mfano, kama unataka kuuliza faida za kodi. Unaweza ukauliza kwa namna ya kupima uelewa na sio direct question.

Na sio kwamba UTUMISHI wameharibu sana hapana, wapo watu wazuri wapo makazini na wanapiga kazi, ila aina ya maswali bado yanaondoka na watu wasiojielewa.

Wakibadilisha aina za maswali, na wakiondoa hali ya kuvujisha mitihani tunaweza kupata watu bora kabisa.

Utumishi kwenye suala la kuleta watu wa kanda moja kwa kiasi chao wamekipunguza kwa angalau 50% to 70% kipengele hiko wamekimudu sana. Ingawa kuna udanganyifu wa hiyo mitihani hali inayopelekea shida makazini.
Kwenye Swala linalohusu mitihani mara nyingi zaidi hauwezi kupima uelewa wa mtu hata utunge Maswali ya Aina gani.

Kwa kuzingatia dk zinazotumika kwenye mitihani ni wazi inategemea na mtu amejianda Vipi na Je aliyoyasoma yametoka au Vipi?

Ni 50/50 kuna watu waneenda wapo Sharo na kuna watu wamebaki wapo nondo sn na Vice Versa yake ipo Piah.

Mada Mtihan ni wa Wazi kila Moja apambane na hali yake? Hata huko vyuoni mitihani inakuja hivyo hivyo aliyekariri na afaulu so system nzima ya Elimu ndy Mbovu na PSRS sio wa kilaumiwa wanatunga mitihani Yao kwendana na Sekta ya Elimu ilivyo Nchi.
 
Nadhani hii comment imebeba mjadala wote
 
👏👏👏
 
Nani kakuambia? Mitihani ya Utumishi karibu yote inauzwa kabla ya kufanya usaili.

Wewe ndio umekosa hiyo channel, most guys hawana uwezo wa kujieleza wala kuelekeza mtu ikiwa amepatiwa Training fulani.

Waajiri wanataka Competent ya mtu, maswali ya uelewa ndio yanakupa picha halisi ya namna gani Kijana anaweza kufanya kazi fulani.

Maofisi mengi wameletwa vijana VILAZA, hawana uelewa wala weledi, kutatua changamoto kwa akili ya kawaida hawawezi.

Tunahitaji sasa Recruitment bora ambayo itampima mtu kwa uelewa not kukariri. Vilaza hawa ndio wanasababisha matatizo kwenye jamii zetu.

Watu wapimwe kwa uelewa, huku wakijua wanaenda kufanya nini, sio mention 5 characteristics za good taxation.

Utaongea sana ila VILAZA mmejaa makazini, hadi unajiuliza miaka 15 au 20 ijayo tutapataje MAKAMISHNA.
Makamishina wa Tra,so unasema Tra kuna vilaza wa kutosha.
 
Back
Top Bottom