Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wana JF. Naomba kuuliza nawezaje kubadilisha fani kwenye account yangu ya PSRS mana nimekosea nikaweka kada nyingine ambayo sina kwenye academic qualification hivyo naomba kazi inakataa na haiwezi kubadilika kuja chini ila inataka kubadilika kama ni kada ya elimu ya juu...na maanisha kama ni dploma hitaki ushushe certificate ila upeleke dgree.....msaada kwaanae jua kubadilisha tafadhali.
Hapo hauwez kubadilisha, labda uwasiliane nao ndo waanze kurekebisha wao, otherwise hauwez badilisha academic qualification kutoka juu kurud chini
 
Kiupande wangu bado sijaitwa Kazini kuanza Majukumu Ila Mshahara wa mwezi April nimelipwa.. ikimaanisha Check no yangu ilishakuwa tayari..
Kuhusu suala la kuitwa kazini nadhani after May 1 tutaitwa mzigoni
Hongera sana. Taasisi gani mkuu?
 
Habari za jumapili, samahani naomba kuuliza kwa mwenye uelewa nahitaji kubadili email yangu ya ajira portal niweke nyingine, hivi kuna hiyo options??
 
Wandugu
Namshukuru Mungu kwenye pdf ya Jana na Mimi nimo nimepangiwa halmashauri.
Baada ya kufanya kazi private kwa miaka nane hatimaye nahamia gavoo.
Msikate tamaa katika wengi wewe ni Mmoja wapo.
Daaah miaka nane private? Kampuni nzuri? ningekuwa mimi nishagombana na maboss kitambo maana private nyingi bila kuwa chawa hamwendi mbele, Hongera sana mkuu
 
Back
Top Bottom