HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Habarini wakuu! Hivi inawezekana utumishi wakaanza kuchomoa watu kwenye database kabla hata ya direct placement? Nauliza hivi kwa sababu kuna mdau nilipiga naye usahili mwezi wa pili cha kushangaza placement ya hiyo taasisi bado haijatoka lakini kuna msailiwa mmoja tulikuwa naye yeye ameitwa kazini kupitia pdf la jana. Cha kushangaza zaidi huyo jamaa yeye hakuwahi kufanya oral nyinngine hapo kabla! PSRS wanatuvuruga sanaaa vijana wa nchi hii. Placement wanachelewesha halafu utendaji kazi wao ni wa hovyo hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes inawezekana mfano
Unakuta taasisi ulifanya interview inahitaji watu 2 oral mlikua 10 na mnafaulu wote unaweza shangaa waloshika kuanzia nafasi ya tatu wanapngwa sehemu nyingine na placement zao zinatangazwa kabla ya huko alikofanyia interview husika apo ndo inapokuja point ya taasisi husika ndo kwa asilimia kubwa wanachelewesha placement kutokana na utayari.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
maelezo yako sijayaelewa kiongozi. Embu andika taratibu ueleweke, usiandike kama unakimbizwa kiongozi. Nawasilisha hoja.
Nikweli mkuu sipo sawa na nikama nilivyoeleza hapo awali psrs wanatuvuruga vijana wa nchi hii. Naomba uniwie radhi kwa hilo. Ninacho maanisha hapa kuna jamaa mmoja tulipiga naye usaili kwenye taasisi fulani. Lakini kinachonishangaza ameitwa kazini kupitia mkeka wa jana ili hali hapo nyuma hakuwahi kufanya usahili kabla ya huo tulioufanya. Na hata baada ya kufanya usahili huo hakuna tangazo la kazi lililotangazwa lenye kuhusiana na career yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna possibilities mbili.

Oral mliofanya February watu walishapatikana ila bado haijawa posted na utumishi until some administrative proceedings zikamalike na huyo jamaa aliwekwa database so amepata from database.

Huyo jamaa alifanya oral ya placement ya jana hajataka it kukwambia.
Pengine, ngoja niendelee kusubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes inawezekana mfano
Unakuta taasisi ulifanya interview inahitaji watu 2 oral mlikua 10 na mnafaulu wote unaweza shangaa waloshika kuanzia nafasi ya tatu wanapngwa sehemu nyingine na placement zao zinatangazwa kabla ya huko alikofanyia interview husika apo ndo inapokuja point ya taasisi husika ndo kwa asilimia kubwa wanachelewesha placement kutokana na utayari.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli mkuu sipo sawa na nikama nilivyoeleza hapo awali psrs wanatuvuruga vijana wa nchi hii. Naomba uniwie radhi kwa hilo. Ninacho maanisha hapa kuna jamaa mmoja tulipiga naye usaili kwenye taasisi fulani. Lakini kinachonishangaza ameitwa kazini kupitia mkeka wa jana ili hali hapo nyuma hakuwahi kufanya usahili kabla ya huo tulioufanya. Na hata baada ya kufanya usahili huo hakuna tangazo la kazi lililotangazwa lenye kuhusiana na career yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa iyo uyo jamaa una maana amefanya oral moja tu ambayo majibu yake bado hayajatoka ila amepangiwa placement Halmashaurini ambako hakufanya oral interview?
 
Habarini wakuu! Hivi inawezekana utumishi wakaanza kuchomoa watu kwenye database kabla hata ya direct placement? Nauliza hivi kwa sababu kuna mdau nilipiga naye usahili mwezi wa pili cha kushangaza placement ya hiyo taasisi bado haijatoka lakini kuna msailiwa mmoja tulikuwa naye yeye ameitwa kazini kupitia pdf la jana. Cha kushangaza zaidi huyo jamaa yeye hakuwahi kufanya oral nyinngine hapo kabla! PSRS wanatuvuruga sanaaa vijana wa nchi hii. Placement wanachelewesha halafu utendaji kazi wao ni wa hovyo hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie tu jamaa aende akaripoti ITIGI na asisahau buti nzito kuna funza sana
 
Habari wana JF. Naomba kuuliza nawezaje kubadilisha fani kwenye account yangu ya PSRS mana nimekosea nikaweka kada nyingine ambayo sina kwenye academic qualification hivyo naomba kazi inakataa na haiwezi kubadilika kuja chini ila inataka kubadilika kama ni kada ya elimu ya juu...na maanisha kama ni dploma hitaki ushushe certificate ila upeleke dgree.....msaada kwaanae jua kubadilisha tafadhali.
 
Jaribu kuwapigia database inatambua iyo course uliyoweka so wacheki wao wanaweza kukusaidia,
Kama upo karibu na dodoma nenda

Course ukisema ufungue account nyingine mchawi nida

Natumai umenielewa.
 
umeongea kikubwa sana.......balikiwa ......sema sio kalibu na mawasiliano yao changamoto
 
Unataka niwe kama Wabunge ambao huwa hawarudi Majimboni kisa wameupata Ubunge?

Nina marafiki zangu, ndugu zangu ambao naweza kuwa alert endapo nikiona nafasi inayofit sifa zao na waweze kuomba.
Safi kabisa mkuu.
Huo nd'o uungwana. Hoja yako izingatiwe sana.
 
Habari wana JF. Naomba kuuliza nawezaje kubadilisha fani kwenye account yangu ya PSRS mana nimekosea nikaweka kada nyingine ambayo sina kwenye academic qualification hivyo naomba kazi inakataa na haiwezi kubadilika kuja chini ila inataka kubadilika kama ni kada ya elimu ya juu...na maanisha kama ni dploma hitaki ushushe certificate ila upeleke dgree.....msaada kwaanae jua kubadilisha tafadhali.
Hapo hauwez kubadilisha, labda uwasiliane nao ndo waanze kurekebisha wao, otherwise hauwez badilisha academic qualification kutoka juu kurud chini
 
Kiupande wangu bado sijaitwa Kazini kuanza Majukumu Ila Mshahara wa mwezi April nimelipwa.. ikimaanisha Check no yangu ilishakuwa tayari..
Kuhusu suala la kuitwa kazini nadhani after May 1 tutaitwa mzigoni
Hongera sana. Taasisi gani mkuu?
 
Back
Top Bottom