HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wandugu
Namshukuru Mungu kwenye pdf ya Jana na Mimi nimo nimepangiwa halmashauri.
Baada ya kufanya kazi private kwa miaka nane hatimaye nahamia gavoo.
Msikate tamaa katika wengi wewe ni Mmoja wapo.
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema huko asalini
 
Kwa mujibu wa tangazo naona bado, kwa mfano
Kwaiyo tuseme mikeka ya MDAs and LGAs ndio zimeishia apo
Bado kwa mujibu wa idadi iliyokuwepo kwenye tangazo, kwa mfano nafasi za Internal audit officer zilikuwa 70 ila mpaka kufikia tangazo la Ijumaa iliyopita walikuwa wameitwa 27, kwa hiyo bado nafasi 43 kukamilisha idadi.
 
Kweli kabisa hata kwa kada yangu ninayo subiri washaita watu 29 bado 41
 
Kwaiyo tuseme mikeka ya MDAs and LGAs ndio zimeishia apo
Bado sana!! Wanaita kwa kadri waajiri (MDA & LGA) wanapokuwa tayari kuwapokea. Kwa mfano nafasi ya Fisheries Officer II walihitaji watu 100, hadi mkeka uliotoka 28/4/2023 walikuwa wameita watu 29 tu kati ya 100 wanaohitajika. Yaani hata theluthi moja bado. Jitieni nguvu kusubiri huku maombi yakifanyika Mungu ni mwaminifu sana ndugu zangu. Msitishwe na hii sentensi kwenye kila tangazo: "Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili"
 
Back
Top Bottom