mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
uzi umepoa wana wengi wamelamba asali,
wengine wamevunjika moyo na kuchelewa kwa placement
kuna mm nae tafuta vi akiba nijipange na sahili mpya
Note: muda ndio muamuzi sahihi wa kila kitu