Habarini wakuu! Hivi inawezekana utumishi wakaanza kuchomoa watu kwenye database kabla hata ya direct placement? Nauliza hivi kwa sababu kuna mdau nilipiga naye usahili mwezi wa pili cha kushangaza placement ya hiyo taasisi bado haijatoka lakini kuna msailiwa mmoja tulikuwa naye yeye ameitwa kazini kupitia pdf la jana. Cha kushangaza zaidi huyo jamaa yeye hakuwahi kufanya oral nyinngine hapo kabla! PSRS wanatuvuruga sanaaa vijana wa nchi hii. Placement wanachelewesha halafu utendaji kazi wao ni wa hovyo hovyo.
Sent using
Jamii Forums mobile app