Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa hiyo SS ivi jina likitoka kwenye placement na tukichunguza kwenye list ya written hayupo, inatulazimu tukubali TU ni database.

Psrs sawa tumeshawaelewa endeleeni na huo wizi wakishamba
Mkuu me mwenyewe ni msaka mrija wa Asali kama mlivo nyie na wengine, tatizo lenu mtu akiwa na mawazo tofauti na yenu anageuka kuwa Adui yenu
 
sijarudi mkuu coz sio wao ata walio nitafuta...kifupi ilikuwa hivi tulifanyaga interview ya brela..wakachukuwa watu walio itwa lakin baada ya muda tukapigiwa mm najamaa yangu flani ivi..na wcf wakadai wametoa majina yetu kwenye data base ya utumishi hivyo tufike ofisin na vyeti vyetu orginal tukaenda navyo wakachukua kopi pale.wakadai watatupigia cm...tukasubili weeee mwisho tukawatafuta wakadai mmoja wenu hana pass yakingereza mwingine kiswahili duh tukaona apa ni ndoige kwani walivyo fika utumishi si walicheki kila kitu.
Vipi majina yenu yalionekana kwenye tangazo la kuitwa kazini kutoka database? Brela interview za March 2022?
 
Mkuu hadi nakuja kuandika hapa najua kila kitu kuhusu watu kuitwa kikanda, kwahiyo kuhusu Ku search jina la muhusika nilifanya hivo kote na sikuliona

Kitu kingine, me pia nilikuwa ni mkandwaji japokuwa nilifanikiwa kufika Oral ila najijua kuwa sikufanya vizuri, kwahiyo sitoshangaa kama nitakosa hiyo Ajira

Sipo hapa kutetea secretariat ya Ajira, bali nilikuwa najaribu kuweka mambo sawa, maana ata Mie nilivoona post ya Kada yangu namie nika react kama ilivo kwa watu wengine

ila ili kujiridhisha ndomana nikaamua Ku search hilo Jina, ndomana pale juu nikashauri yesamrich ajaribu Ku search nayeye, me sikujua kama kashacheki

Sioni mantiki ya kuanza kubishana kama watoto inashangaza sana, Kwa kutumia busara tu ilikuwa ni easy tu, kujibiwa kuwa nimeshacheki na Jina lilikuwepo sidhani kama ingemcost chochote

Kuna maisha baada ya hizo Ajira za utumishi, kama ni kazi wote tunzitaka ila tunajua fika kuwa hatuwezi kupata wote, tujifunze kukubali na kuridhika, tujiandae kisaikolojia mapema maana wengine wanahisi wanastahili kupata hizo kazi kuliko wengine
Mimi naomba niseme upande wa mhasibu daraja la 2 yeye ni waliofanya interview za mda na lga na hata mtu akiserch atamkuta na ameajiriwa kwenye halmashaur yetu kama atapenda kuja basi nina imani j3 ataripot na ni wale waliofanya Nov 23 zile za cpa
 
Piga retweet hapa mpaka imfikie acheni kulia machozi ndani ya maji

Na uhakika waliolamba Asali 80% hawatahangaika na hizi harakati.

Ktk Maisha mtu akichoropoka huwa haangalii huko nyuma. Anasahau yote. Binafsi NYUNDO zitaendelea kwa hawa JAMAA mpk ipatikane ahueni.

Twitter nina Acc 2 wacha nifanye Automation ya tweets tutafika tu nyundo tu.

Jobless na waliolamba Asali pigeni Nyundo mambo ya vijana yaende.
 
Mimi naomba niseme upande wa mhasibu daraja la 2 yeye ni waliofanya interview za mda na lga na hata mtu akiserch atamkuta na ameajiriwa kwenye halmashaur yetu kama atapenda kuja basi nina imani j3 ataripot na ni wale waliofanya Nov 23 zile za cpa
Shukrani mkuu Kwa kutumia muda wako kunijuza hiki kitu, nimekupata uzuri
 
Mimi naomba niseme upande wa mhasibu daraja la 2 yeye ni waliofanya interview za mda na lga na hata mtu akiserch atamkuta na ameajiriwa kwenye halmashaur yetu kama atapenda kuja basi nina imani j3 ataripot na ni wale waliofanya Nov 23 zile za cpa
Na pia siwezi sema kwamba mda na lga zile kazi zimeanza kutoka may b huyu mhasibu aliwahi kufanya interview zingine za nyuma pia akawepo database ila leo tu nilikuwa na afisa utumishi nikamwambia umeona tumeletewa watumishi wengi mno kama 8 hivi alkiwemo na mchumi akasema ndio tuliomba hapa juzi kibali mbadala baada ya watumishi wengine kuacha kazi na wengine kufariki na kuhama pia ....sasa uhakika wa kwamba ni mda na lga au ni database sina ila huyo mhasibu nimemuangalia ni alifanya interview 23 Nov mda na lga ndio tumeletewa
 
Ilik
sijarudi mkuu coz sio wao ata walio nitafuta...kifupi ilikuwa hivi tulifanyaga interview ya brela..wakachukuwa watu walio itwa lakin baada ya muda tukapigiwa mm najamaa yangu flani ivi..na wcf wakadai wametoa majina yetu kwenye data base ya utumishi hivyo tufike ofisin na vyeti vyetu orginal tukaenda navyo wakachukua kopi pale.wakadai watatupigia cm...tukasubili weeee mwisho tukawatafuta wakadai mmoja wenu hana pass yakingereza mwingine kiswahili duh tukaona apa ni ndoige kwani walivyo fika utumishi si walicheki kila kitu.
Ilikuwa mwaka gani hiyo?? Na je una Ushahidi wa SMS au chochote kile kuonyesha ukisemacho ndicho???
Tunaomba tufahamu .......
 
sijarudi mkuu coz sio wao ata walio nitafuta...kifupi ilikuwa hivi tulifanyaga interview ya brela..wakachukuwa watu walio itwa lakin baada ya muda tukapigiwa mm najamaa yangu flani ivi..na wcf wakadai wametoa majina yetu kwenye data base ya utumishi hivyo tufike ofisin na vyeti vyetu orginal tukaenda navyo wakachukua kopi pale.wakadai watatupigia cm...tukasubili weeee mwisho tukawatafuta wakadai mmoja wenu hana pass yakingereza mwingine kiswahili duh tukaona apa ni ndoige kwani walivyo fika utumishi si walicheki kila kitu.
mimi nimeona kosa lenu ni kuuliza na hali walishawaambia watawapigia. Watu wengi niliowahi kuwasikia na kesi kama yako wote walitafutiwaga sababu za kuwadisqualify.

Pole sana broo usirudie tena.
 
sijarudi mkuu coz sio wao ata walio nitafuta...kifupi ilikuwa hivi tulifanyaga interview ya brela..wakachukuwa watu walio itwa lakin baada ya muda tukapigiwa mm najamaa yangu flani ivi..na wcf wakadai wametoa majina yetu kwenye data base ya utumishi hivyo tufike ofisin na vyeti vyetu orginal tukaenda navyo wakachukua kopi pale.wakadai watatupigia cm...tukasubili weeee mwisho tukawatafuta wakadai mmoja wenu hana pass yakingereza mwingine kiswahili duh tukaona apa ni ndoige kwani walivyo fika utumishi si walicheki kila kitu.
Hata mimi pia kwenye private orga.. moja iv niliulizaga wakaniundia sababu ikaishia hapo.
 
Kwenye huu uzi kuna jamaa kaelezewa kuwa alikataa Asali ya 5M mgodini kisa alikuwa na connection Wizarani na sasa yupo Wizarani

Hata kama PSRS ina mapungufu yake halafu hauna mjomba/shangazi/kaka/dada/binamu huko wizarani au kwenye taasisi, komaa na PSRS, wakati si ukuta utalamba Asali na utasahau madhila yote unayopitia kwa sasa!
 
Back
Top Bottom