HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi huwa napenda Kujifunza siku zote,baada ya kwenda DODOMA na kupata Fursa ya Kuongea nao,nilielezwa mengi,ndio maana ninachoongea hapa nimekifanyia Utafiti,tusipende sana kulaumu,kila Taasisi huwa haikosi changamoto,ndio maana Hata wewe Hapo ulipojishikiza Kuna changamoto pia,ila nakujua ni mjengaji mzuri sana wa hoja,nadhani tuendelee Kujifunza ipo siku kila Mmoja wetu atakuja kuwasifia PSRS Kwa kazi Yao nzuri.....

Kama ni mtu wa kukata tamaa basi ningekuwa Mimi,Toka 2017 ,nikapigwa vyombo vya ulinzi vyote,lakini matumaini yakawa PSRS ambako Sina hata connection Wala ninayemjua na ndio nimekomaa nao mpaka kufanikiwa,Tena nimepigwa saili nyingi tu Written,oral ya kwanza ndio kazi.Mimi ukisema nikupe shuhuda nitasema PSRS ndio mkombozi wetu....

Mimi nipo hapa kutiana moyo na vijana wenzangu,hakuna mahali nishawahi mkatisha tamaa mtu,zaidi ya hata kutag kuuliza placements tu,Kikubwa Mimi naona tupende Kujifunza,na tuzidi kupeana ABC za kufanikiwa kama vijana,maana kama Database ipo itatoka tu,na wameshaanza kuchomoa Majina mengi tu,Kikubwa kuomba Kufikiwa tu.

Kama kuna mtu nitakuwa nimemkwaza Kwa kutoa maoni yangu basi naomba anivumilie.
We jamaa Bora ukae kimya, unazidi kuharibu
 
sijarudi mkuu coz sio wao ata walio nitafuta...kifupi ilikuwa hivi tulifanyaga interview ya brela..wakachukuwa watu walio itwa lakin baada ya muda tukapigiwa mm najamaa yangu flani ivi..na wcf wakadai wametoa majina yetu kwenye data base ya utumishi hivyo tufike ofisin na vyeti vyetu orginal tukaenda navyo wakachukua kopi pale.wakadai watatupigia cm...tukasubili weeee mwisho tukawatafuta wakadai mmoja wenu hana pass yakingereza mwingine kiswahili duh tukaona apa ni ndoige kwani walivyo fika utumishi si walicheki kila kitu.
Mwajiri anapeleka vyeti necta kujiridhisha kabla hajawaajiri rasmi, hiyo ina maana huyo mhusika alifoji passmark hiyo ya kiswahili nk. hivyo hawezi kukubaliwa Ni simple
 
Huu uzi sio wa kutoa porojo na ku raise agenda ambazo hazilengi kwenye mabadiliko ya kiutendaji wa psrs hilo mosi..

Pili watu wamegeuka ma motivational speakers mara baada tu ya kulamba asali wakati wanafahamu haswa watu wanavyohangaika kupata nafasi ikiwa ni pamoja upoteaji mkubwa wa rasilimali muda na fedha ambazo kama mchakato wa ajira usingekuwa wa kiwaki. Tusimamie hapo
 
Bunge sijafatilia ila nahisi ipo..

Nashauri Area za ku target ni:-

1 Waziri mhusika aliyedanganya watu
2- Mheshimiwa Rais (huyu aone aliyempa dhamana kadanganya watu)
3- Katibu (Makatibu wote wakuu wawili) ndio watendaji.

4- IKULU (Vipepeo wapeleke mezani)

5- Wanaharakati.

6- MBUNGE Aliyerise ile hoja pale bungeni ile siku.

7- TAESA hawa jamaa naonaga wanakula mishahara ya bure wafanye kazi (Wapush push vitu).
Bunge la TZ ni kama Banda la broiler hivi
 
Mimi huwa napenda Kujifunza siku zote,baada ya kwenda DODOMA na kupata Fursa ya Kuongea nao,nilielezwa mengi,ndio maana ninachoongea hapa nimekifanyia Utafiti,tusipende sana kulaumu,kila Taasisi huwa haikosi changamoto,ndio maana Hata wewe Hapo ulipojishikiza Kuna changamoto pia,ila nakujua ni mjengaji mzuri sana wa hoja,nadhani tuendelee Kujifunza ipo siku kila Mmoja wetu atakuja kuwasifia PSRS Kwa kazi Yao nzuri.....

Kama ni mtu wa kukata tamaa basi ningekuwa Mimi,Toka 2017 ,nikapigwa vyombo vya ulinzi vyote,lakini matumaini yakawa PSRS ambako Sina hata connection Wala ninayemjua na ndio nimekomaa nao mpaka kufanikiwa,Tena nimepigwa saili nyingi tu Written,oral ya kwanza ndio kazi.Mimi ukisema nikupe shuhuda nitasema PSRS ndio mkombozi wetu....

Mimi nipo hapa kutiana moyo na vijana wenzangu,hakuna mahali nishawahi mkatisha tamaa mtu,zaidi ya hata kutag kuuliza placements tu,Kikubwa Mimi naona tupende Kujifunza,na tuzidi kupeana ABC za kufanikiwa kama vijana,maana kama Database ipo itatoka tu,na wameshaanza kuchomoa Majina mengi tu,Kikubwa kuomba Kufikiwa tu.

Kama kuna mtu nitakuwa nimemkwaza Kwa kutoa maoni yangu basi naomba anivumilie.
Acha uongo Mzee hakuna asali ulio lamba .
 
Ukienda website ya ajira utakutana na NEW nyingi za call for interview na advertisement lakini NEW ya Placement ni moja tu.
Kweli hapa kuna shida mahali, halafu hii tabia ya uongo uongo utumishi mnaitoa wapi. Wiki tatu tangu tar 18 Feb zinaisha lini???

Tuna imani nanyi katika kutenda haki lkn hili la ucheleweshaji placements halivumiliki hata kidogo. Sekretarieti ya Ajira
 
Kuna hii issue mtu unaomba kwenye asali (eGA, PURA, TPDC, TRA e.t.c) lakini placement ikitoka wamekupangia matopeni wilayani Kakonko huko ndani ndani. Sio kila mtu anaeomba kazi anataka kufanya kazi popote. Watu waulizwe " Mr. Tutor uliomba kazi TANROAD umekosa nafasi sasa kuna nafasi wilaya ya Namtumbo uko tayari?" Hii itapunguza idadi ya watu wasioenda kuripoti vituoni.
 
Kwa kifupi huo mfumo ni mbovu, sema kwa kuwa system ya ajira ilishaharibiwa na vijana tunashida ya asali, tunaona fresh tu.

Nina rafiki angu (Engineer) aliomba nafasi za Tanroad mwaka juzi, akakosa...wamempeleka Halmshauri huko Nyanda za juu kusini, jamaa anafanya kazi kwa kunung'unika kila siku (Hapo sitegemei kama kuna ufanisi wa kazi, labda mpaka atakapo fungua moyo)

Hii maana ake nini? Tunapeleka watumishi sehemu ambazo hawajapenda kwenda, kuna athari kubwa ya kupunguza utendaji kazi wao.

PSPR waangalie namna wanavyotoa placement zao from database, atleast kuwe na mlingano wa taasisi uliyofanyia interview na wanapokupeleka.
 
Pia sio kila anaeomba kazi ni jobless wengine wapo kazini. Ukitaka kujua hilo angalia zile interview za asali watu wanapaki ndinga kali wanaingia kukandwa wanarudi kwenye majukumu
 
Kwa kifupi huo mfumo ni mbovu, sema kwa kuwa system ya ajira ilishaharibiwa na vijana tunashida ya asali, tunaona fresh tu.

Nina rafiki angu (Engineer) aliomba nafasi za Tanroad mwaka juzi, akakosa...wamempeleka Halmshauri huko Nyanda za juu kusini, jamaa anafanya kazi kwa kunung'unika kila siku (Hapo sitegemei kama kuna ufanisi wa kazi, labda mpaka atakapo fungua moyo)

Hii maana ake nini? Tunapeleka watumishi sehemu ambazo hawajapenda kwenda, kuna athari kubwa ya kupunguza utendaji kazi wao.

PSPR waangalie namna wanavyotoa placement zao from database, atleast kuwe na mlingano wa taasisi uliyofanyia interview na wanapokupeleka.

Hakutakiwa kwenda kuripoti.
 
Ukija kupata asali usiwe msaliti na kuanza kuwatetea hao majambazi psrs kama majobless wastaafu waliokula asali humu .😃😃😃😃😃

Tuna push hii agenda ili PSRS wabadilike , watu wapate kazi watoke kitaa aisee ,haiba maana mtu kukaa miezi 3,6 au hata mwaka unasubiri placement ,huu ni uzezeta na kutowajibika kwa hiyo wizara ya ajira na taasisi zake inazozisimamia , ile business as usual mentality ya kufanya kazi kwa mazoea bila kuadapt new techniques za kuongeza ufanisi ni ujinga.

Pamoja na mazuri waliofanya ila mapungufu wanayo na kubwa ni hilo la kuchelewa kwa mchakato mzima wa ajira toka interview mpaka placement na ndio kilio kikubwa hata humu
ni kweli kaka
 
wakuu tuendelee kuretweet ile post ,mpaka viongozi kadhaa na wadau iwafikie .mm sikuwa mdau wa twitter ila nika retweet ku push agenda na kutag mamlaka kadhaa za nchi ili tupate pdf ya database 1700+ ama statement yoyote kutoka utumishi
 
Soon watatoa mkeka ila tujiandae kisaikolojia tutakao kosa
 
Back
Top Bottom