little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 998
Taasisi ndo inapeleka taarifa zako baada ya ukaguzi wa vyeti.Kumbe check number zinaandaliwa na taasisi husika??
Taasisi ndo inapeleka taarifa zako baada ya ukaguzi wa vyeti.Kumbe check number zinaandaliwa na taasisi husika??
Bro umekua wakala mzuri sna wa psrs baada ya kulamba mrija 🤣Ndugu zangu nawaombea wote mpate Ajira,ila tusipende sana kuongea vitu tusivyo kuwa na uhakika navyo, Tuombeane Kheri siku zote...
PSRS wapo sanaa,tujipange tu na Tumuombe Mungu,ila jamaa wanafanya kazi nzuri sana,Mimi naona Sisi wakandwaji tu ndio tunshindwa kujipanga vizuri....
Mleta Uzi Kashapata kazi,Na ni baada ya kukosa kadhaa,ila hakukata tamaa,alikuja hapa baada ya Oral,lakini baadae akapambana na Sasa yupo kwenye Utumishi wa Umma,kama mngekuwa mnajua lengo la Uzi mpaka Sasa tulipofikia basi ingebaki kupeana mbinu za kufaulu usaili wa PSRS....
Tuwe na hekma siku zote,kama una uwezo wa kwenda usaili wewe nenda,huwezi jua Lini Mungu atakupangia au atakupa kazi.
Jobless na mlamba asali kuongea lugha 1 ni jambo gumu kidgo ila ushauri mzuri mkuuNdugu zangu nawaombea wote mpate Ajira,ila tusipende sana kuongea vitu tusivyo kuwa na uhakika navyo, Tuombeane Kheri siku zote...
PSRS wapo sanaa,tujipange tu na Tumuombe Mungu,ila jamaa wanafanya kazi nzuri sana,Mimi naona Sisi wakandwaji tu ndio tunshindwa kujipanga vizuri....
Mleta Uzi Kashapata kazi,Na ni baada ya kukosa kadhaa,ila hakukata tamaa,alikuja hapa baada ya Oral,lakini baadae akapambana na Sasa yupo kwenye Utumishi wa Umma,kama mngekuwa mnajua lengo la Uzi mpaka Sasa tulipofikia basi ingebaki kupeana mbinu za kufaulu usaili wa PSRS....
Tuwe na hekma siku zote,kama una uwezo wa kwenda usaili wewe nenda,huwezi jua Lini Mungu atakupangia au atakupa kazi.
Eleza Kwa uwazi,kama ni wewe elezea na Taasisi husika kila kitu Ili tujue uhalisia.....jamani naomba niulize kitu. hivi majina kwenye database yanakaa kwa muda maarumu na kufutwa au...? alafu mfano mtu akaitwa na taasisi furani kwa simu akiambia jina lakotumetoa utumishi kwenye database alafu mwishoe kapeleka viambatanisho vyake akaambiwa atapigiwa cm mwisho wasiku baada ya kufatilia anaambiwa hajaitwa kwakuwa hana vigezo wakati vitu alivyo peleka vyote vilikua kwenye account ya utumishi hii imekaaje mnahisi..?
ni kweli nilisha kutana na hiyo ndoige babaEleza Kwa uwazi,kama ni wewe elezea na Taasisi husika kila kitu Ili tujue uhalisia.....
Kwahiyo mkuu namie unaniweka katika kundi la watoa Ajira?kama walikuwepo database mliwaita kwenye usaili wengine kwanin. vichwa panzi nyie
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Ulipo rudi utumishi walikuambiaje?au hukurudi kuulizia kulikoni?ni kweli nilisha kutana na hiyo ndoige baba
NB: mleta uzi aliuliza kwanini utumishi wanachelewesha placementNdugu zangu nawaombea wote mpate Ajira,ila tusipende sana kuongea vitu tusivyo kuwa na uhakika navyo, Tuombeane Kheri siku zote...
PSRS wapo sanaa,tujipange tu na Tumuombe Mungu,ila jamaa wanafanya kazi nzuri sana,Mimi naona Sisi wakandwaji tu ndio tunshindwa kujipanga vizuri....
Mleta Uzi Kashapata kazi,Na ni baada ya kukosa kadhaa,ila hakukata tamaa,alikuja hapa baada ya Oral,lakini baadae akapambana na Sasa yupo kwenye Utumishi wa Umma,kama mngekuwa mnajua lengo la Uzi mpaka Sasa tulipofikia basi ingebaki kupeana mbinu za kufaulu usaili wa PSRS....
Tuwe na hekma siku zote,kama una uwezo wa kwenda usaili wewe nenda,huwezi jua Lini Mungu atakupangia au atakupa kazi.
sijarudi mkuu coz sio wao ata walio nitafuta...kifupi ilikuwa hivi tulifanyaga interview ya brela..wakachukuwa watu walio itwa lakin baada ya muda tukapigiwa mm najamaa yangu flani ivi..na wcf wakadai wametoa majina yetu kwenye data base ya utumishi hivyo tufike ofisin na vyeti vyetu orginal tukaenda navyo wakachukua kopi pale.wakadai watatupigia cm...tukasubili weeee mwisho tukawatafuta wakadai mmoja wenu hana pass yakingereza mwingine kiswahili duh tukaona apa ni ndoige kwani walivyo fika utumishi si walicheki kila kitu.Ulipo rudi utumishi walikuambiaje?au hukurudi kuulizia kulikoni?
Kwa hiyo SS ivi jina likitoka kwenye placement na tukichunguza kwenye list ya written hayupo, inatulazimu tukubali TU ni database.Mkuu Una uhakika huyo Trade officer kuwa ulifanya nae usahili hiyo Feb 16?
Nauliza Kwa sababu katika hilo tangazo la kuitwa watu kazini ata Mie niliona kuna mtu kaitwa katika nafasi ambazo tumefanya Feb
ili kuhakikisha kama ni miongoni mwa ambao tumefanya Feb ikabidi Niende kwenye Yale majina ya tulioitwa kwenye usahili wa Written kisha nika search jina lake ili kupata uhakika, ila halikuwepo
Baada ya kulikosa nikajua kuwa hakuwepo katika wale ambao tulifanya usahili Feb, hivo nikajiridhisha kuwa itakuwa ametokea Database
kwahiyo ata wewe ili kujiridhisha chukua jina la huyo Trade officer wako kisha search kwenye majina yenu ya usahili upate uhakika kabla ya kuanza/kuendelea kulalamika ilhali huna uhakika ili
Fanya mambo kwa kuthibitisha kama bwana Mwifwa ambavyo amekuwa akisisitiza kabla ya kuanza kuwatupia lawama secretariat
Achanae huyo jamaa, analeta story za zumaradiNB: mleta uzi aliuliza kwanini utumishi wanachelewesha placement
Sema weakness mojawapo ya waaguzi ni kutafuta sana makosa.Kaa chonjo mkuu tunaweza kukuibukia tuje tukuchunguze ufanisi wa utendaji kazi wako.[emoji3][emoji3][emoji3]
Jinsi unavyowasajili Importers, unavyoregister drugs, unavyo run pre-clinical studies n.k kama unafuata Acts zote zinazohusika.
HiZo nakumba ni Kwa ajili ya fomfoo, Sasa humu wengi ni diploma na kuendeleaWaloitwa polisi....je humu kuna alotoboa?View attachment 2562881
Mazaga one alikua vizuri sana kwenye kujenga hoja, sasa hivi anaharibu kabisa.NB: mleta uzi aliuliza kwanini utumishi wanachelewesha placement
Mkuu me mwenyewe ni msaka mrija wa Asali kama mlivo nyie na wengine, tatizo lenu mtu akiwa na mawazo tofauti na yenu anageuka kuwa Adui yenuKwa hiyo SS ivi jina likitoka kwenye placement na tukichunguza kwenye list ya written hayupo, inatulazimu tukubali TU ni database.
Psrs sawa tumeshawaelewa endeleeni na huo wizi wakishamba
Kazi nzima ni taasisi husika wanafanya kwa weledi na ufanisi wa Hali ya juu kumtafuta mtu au watu wanao wahitaji Kwa ajili ya kuleta tija kwenye taasisi zao,Taasisi ndo inapeleka taarifa zako baada ya ukaguzi wa vyeti.
Hiyo ndio identity yake ,alikuwa akijifanya ni miongoni mwetu , lakini spana zilivyozidi akashindwa kujizuiaMazaga one alikua vizuri sana kwenye kujenga hoja, sasa hivi anaharibu kabisa.
[emoji1787]Nilishajibu huko juu,kabla kuquote uwe unasoma comments zote sawa???? Tusichoshane