HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Interview ya trade officer tumefanya 16.2.2023.
Juzi tayari nmeona jina moja TU la mtu aliepata trade officer kapangiwa geita which means MATOKEO TAYARI YAPO.

So hapo bado majina 80(walitaka 81 people),kwa mfumo huo wa jina moja moja hadi 81 wote waishe ni leo kweli????

Mtu unakaa unajiuliza hupat majibu why wanafanya hivo,why wasitoe matokeo mana tunajua kabisa yapo tayari.
Ili maisha mengine yaendelee,mtu unashindwa hata kuplan vitu vyako mana unaishi kwenye uncertainty tu[emoji2356].

Haya basi maybe mna sababu zenu,basi communicate with us,tuambien kwamba bana eeh taratibu zipo hivi na hivi ndomana matokeo yanachelewa,tutaelewa na sio kutesana kibabe hivi[emoji2356].

Na tunauliza hata hatujibiwi maskin ya Mungu tunabak tunafarijiana wenyew na kupeana majibu ya kuassume tu[emoji2356]

Its so unfair[emoji22]...
Mkuu Una uhakika huyo Trade officer kuwa ulifanya nae usahili hiyo Feb 16?

Nauliza Kwa sababu katika hilo tangazo la kuitwa watu kazini ata Mie niliona kuna mtu kaitwa katika nafasi ambazo tumefanya Feb

ili kuhakikisha kama ni miongoni mwa ambao tumefanya Feb ikabidi Niende kwenye Yale majina ya tulioitwa kwenye usahili wa Written kisha nika search jina lake ili kupata uhakika, ila halikuwepo

Baada ya kulikosa nikajua kuwa hakuwepo katika wale ambao tulifanya usahili Feb, hivo nikajiridhisha kuwa itakuwa ametokea Database

kwahiyo ata wewe ili kujiridhisha chukua jina la huyo Trade officer wako kisha search kwenye majina yenu ya usahili upate uhakika kabla ya kuanza/kuendelea kulalamika ilhali huna uhakika ili

Fanya mambo kwa kuthibitisha kama bwana Mwifwa ambavyo amekuwa akisisitiza kabla ya kuanza kuwatupia lawama secretariat
 
kama walikuwepo database mliwaita kwenye usaili wengine kwanin. vichwa panzi nyie

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Una uhakika huyo Trade officer kuwa ulifanya nae usahili hiyo Feb 16?

Nauliza Kwa sababu katika hilo tangazo la kuitwa watu kazini ata Mie niliona kuna mtu kaitwa katika nafasi ambazo tumefanya Feb

ili kuhakikisha kama ni miongoni mwa ambao tumefanya Feb ikabidi Niende kwenye Yale majina ya tulioitwa kwenye usahili wa Written kisha nika search jina lake ili kupata uhakika, ila halikuwepo

Baada ya kulikosa nikajua kuwa hakuwepo katika wale ambao tulifanya usahili Feb, hivo nikajiridhisha kuwa itakuwa ametokea Database

kwahiyo ata wewe ili kujiridhisha chukua jina la huyo Trade officer wako kisha search kwenye majina yenu ya usahili upate uhakika kabla ya kuanza/kuendelea kulalamika ilhali huna uhakika ili

Fanya mambo kwa kuthibitisha kama bwana Mwifwa ambavyo amekuwa akisisitiza kabla ya kuanza kuwatupia lawama secretariat
Nilishajibu huko juu,kabla kuquote uwe unasoma comments zote sawa???? Tusichoshane
 
Sijui point yako iko wapi, lakini nachojua majina ya TRA yalitoka saa kadhaa baada ya tangazo la Rais..

Hii inakupa picha gani? Je majina yalikuepo ila yalikua yanacheleweshwa kwa makusudi kwa sababu ambazo mimi na wewe hatuzijui? Ama kuna nini?

Wingi wa saili haufanyi kuchelewesha mchakato kwasababu ratiba uwa zinapangwa kuanzia January (kwamba tutaanza na taasisi hii then itafata hii), hapa ndo tunakuja kupima ufanisi wao then tuna conclude kwamba inawezekana PSRS wameshindwa kutumiza majukumu yao
Ukitaka kuamini kuwa kuchelewa hakusababishwi na utumishi ndo maana hata baada ya majina kutoka bado walikaa mwezi na wiki mbele kabla ya kureport
 
Mkuu Una uhakika huyo Trade officer kuwa ulifanya nae usahili hiyo Feb 16?

Nauliza Kwa sababu katika hilo tangazo la kuitwa watu kazini ata Mie niliona kuna mtu kaitwa katika nafasi ambazo tumefanya Feb

ili kuhakikisha kama ni miongoni mwa ambao tumefanya Feb ikabidi Niende kwenye Yale majina ya tulioitwa kwenye usahili wa Written kisha nika search jina lake ili kupata uhakika, ila halikuwepo

Baada ya kulikosa nikajua kuwa hakuwepo katika wale ambao tulifanya usahili Feb, hivo nikajiridhisha kuwa itakuwa ametokea Database

kwahiyo ata wewe ili kujiridhisha chukua jina la huyo Trade officer wako kisha search kwenye majina yenu ya usahili upate uhakika kabla ya kuanza/kuendelea kulalamika ilhali huna uhakika ili

Fanya mambo kwa kuthibitisha kama bwana Mwifwa ambavyo amekuwa akisisitiza kabla ya kuanza kuwatupia lawama secretariat
Ulisearch kwenye kanda zote ambazo usahili ulifanyika? Usije ukawa umesearch majina ya kwenye kanda yako tu. Kama haukufanya hivyo jaribu kusearch hilo jina kwenye PDF ya kila kanda ndo urudi tena kutoa ushuhuda
 
Nilishajibu huko juu,kabla kuquote uwe unasoma comments zote sawa???? Tusichoshane
Samahani mkuu kama nimekukwaza maana halikuwa lengo langu, pia sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kunambia "tusichoshane"

ungeweza kunambia tu shortly kuwa nishaangalia na uka sound matured, sio kila mtu anaweza kusoma kila post humu ili kabla ya kuuliza kitu au kuchangia kitu ajue kama kishajibiwa au laa
 
Ukitaka kuamini kuwa kuchelewa hakusababishwi na utumishi ndo maana hata baada ya majina kutoka bado walikaa mwezi na wiki mbele kabla ya kureport
Hii ni kawaida kwa taasisi baada ya kupata majina ya waajiriwa wapya lazima wafanye taratibu zao (ukaguzi wa vyeti, kuandaa check number etc)....bila wao kupelekewa majina hawawezi kufanya mchakato wowote.

Kwahiyo mwisho wa siku tunarudi pale pale anayechelewesha mchakato ni Psrs
 
Samahani mkuu kama nimekukwaza maana halikuwa lengo langu, pia sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kunambia "tusichoshane"

ungeweza kunambia tu shortly kuwa nishaangalia na uka sound matured, sio kila mtu anaweza kusoma kila post humu ili kabla ya kuuliza kitu au kuchangia kitu ajue kama kishajibiwa au laa
Hujanikwaza,trade officer alikua ni mmoja TU,hata ww ungeweza kusearch walioitwa written na ukapata jina lake kabla kuja kuandika gazet reeefu[emoji2356]ungekua ushaprove mwenyewe.

Anyways nlikua naweza nskujib pia from the very first time u quoted me mana jibu lilikua juu but i didnt wanna sound rude.[emoji1666][emoji2210]Jion njema.
 
Hii ni kawaida kwa taasisi baada ya kupata majina ya waajiriwa wapya lazima wafanye taratibu zao (ukaguzi wa vyeti, kuandaa check number etc)....bila wao kupelekewa majina hawawezi kufanya mchakato wowote.

Kwahiyo mwisho wa siku tunarudi pale pale anayechelewesha mchakato ni Psrs

Kumbe check number zinaandaliwa na taasisi husika??
 
jamani naomba niulize kitu. hivi majina kwenye database yanakaa kwa muda maarumu na kufutwa au...? alafu mfano mtu akaitwa na taasisi furani kwa simu akiambia jina lakotumetoa utumishi kwenye database alafu mwishoe kapeleka viambatanisho vyake akaambiwa atapigiwa cm mwisho wasiku baada ya kufatilia anaambiwa hajaitwa kwakuwa hana vigezo wakati vitu alivyo peleka vyote vilikua kwenye account ya utumishi hii imekaaje mnahisi..?
 
Ulisearch kwenye kanda zote ambazo usahili ulifanyika? Usije ukawa umesearch majina ya kwenye kanda yako tu. Kama haukufanya hivyo jaribu kusearch hilo jina kwenye PDF ya kila kanda ndo urudi tena kutoa ushuhuda
Mkuu hadi nakuja kuandika hapa najua kila kitu kuhusu watu kuitwa kikanda, kwahiyo kuhusu Ku search jina la muhusika nilifanya hivo kote na sikuliona

Kitu kingine, me pia nilikuwa ni mkandwaji japokuwa nilifanikiwa kufika Oral ila najijua kuwa sikufanya vizuri, kwahiyo sitoshangaa kama nitakosa hiyo Ajira

Sipo hapa kutetea secretariat ya Ajira, bali nilikuwa najaribu kuweka mambo sawa, maana ata Mie nilivoona post ya Kada yangu namie nika react kama ilivo kwa watu wengine

ila ili kujiridhisha ndomana nikaamua Ku search hilo Jina, ndomana pale juu nikashauri yesamrich ajaribu Ku search nayeye, me sikujua kama kashacheki

Sioni mantiki ya kuanza kubishana kama watoto inashangaza sana, Kwa kutumia busara tu ilikuwa ni easy tu, kujibiwa kuwa nimeshacheki na Jina lilikuwepo sidhani kama ingemcost chochote

Kuna maisha baada ya hizo Ajira za utumishi, kama ni kazi wote tunzitaka ila tunajua fika kuwa hatuwezi kupata wote, tujifunze kukubali na kuridhika, tujiandae kisaikolojia mapema maana wengine wanahisi wanastahili kupata hizo kazi kuliko wengine
 
Ndugu zangu nawaombea wote mpate Ajira,ila tusipende sana kuongea vitu tusivyo kuwa na uhakika navyo, Tuombeane Kheri siku zote...
PSRS wapo sanaa,tujipange tu na Tumuombe Mungu,ila jamaa wanafanya kazi nzuri sana,Mimi naona Sisi wakandwaji tu ndio tunshindwa kujipanga vizuri....

Mleta Uzi Kashapata kazi,Na ni baada ya kukosa kadhaa,ila hakukata tamaa,alikuja hapa baada ya Oral,lakini baadae akapambana na Sasa yupo kwenye Utumishi wa Umma,kama mngekuwa mnajua lengo la Uzi mpaka Sasa tulipofikia basi ingebaki kupeana mbinu za kufaulu usaili wa PSRS....
Tuwe na hekma siku zote,kama una uwezo wa kwenda usaili wewe nenda,huwezi jua Lini Mungu atakupangia au atakupa kazi.
 
Back
Top Bottom