Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

We jamaa acha ujinga.Mbona unakuwa msomi mpuuzi hivi.Humu ndani tupo vijana Wasomi ongea vitu vyenye busara basi.
Kaa vizuri na wenzako wakupe mbinu za kufaulu,sio kukaa kuwalalamikia PSRS ilhali unakaa mitandaoni humu unaanza kuandika Upuuzi ambao haukuongezei Chochote,Baadhi ya Vijana wa Kitanzania Shida sana ikiwemo wewe.
Una ujinga mwingi Mzee.Wanaume hatupo hivyo!!!!!
hivi jamii forum haina option ya kumblock mtu husione comments zake??? me huyo jamaa natamani nifanye hivyo mana huwa ana comment negativity tu kwenye huu uzi wa walamba asali.

Kama hiyo option ipo kwa anae jua anielekeze nimblock chap nisiwe naona anachopost hapa.
 
hivi jamii forum haina option ya kumblock mtu husione comments zake??? me huyo jamaa natamani nifanye hivyo mana huwa ana comment negativity tu kwenye huu uzi wa walamba asali
kama hiyo option ipo kwa anae jua anielekeze nimblock chap nisiwe naona anachopost hapa
Jamaa miyeyusho sana
 
Nyingi za Halmashauri za nafasi moja moja ni hizi za Watendaji wa Mtaa/Kijiji.

Za kinondoni ni nyingi na za mkataba wa mwaka 1 na watu wanaotafutwa ni wenye Degree zao. Hizi zinaweza kuendeshwa na PSRS na wala si zile watendaji wa Mtaa/Kijiji.

Kwa hiyo nimalizie kuwa, PSRS hawaendeshi sahili za Watendaji wa Mtaa/Kijiji ambapo matangazo yao mengi yanapostiwa pia kwenye Website yao
Huwa anateuliwa afisa mmoja kutoka utumishi anaenda halmashaur husika kwenye hizo interview za watendaji na hata za mkataba za halmashaur huwa anakuja na analipwa posho na halmashaur husika ila kuhusu maswali anatumiwa asubuhi na tume ya utumishi kabla ya interview kuanza na kufungua maswali ili ayaprint anakuwepo afisa kutoka ofisi ya usalama yani kwa DSO kiufupi wanajitahidi sana kutenda haki usawa unakuwepo ukifanya vizuri unachukuliwa bila upendeleo na akishatangaza matokeo ndipo anaondoka kurudi dodoma
 
Hilo ni kweli kabisa, kuna interview nilishawah kuhudhuria ilikua inandeshwa na tume ya mahakama, haikutangazwa kabisa psrs but siku ya oral alikuepo mtu kutoka tume ya ajira
 
Naona hata uvvu kusoma hizi nlizoapply
Usichoke my dear mpambanaji huwa hachoki, na akichoka ujue amepata i feel you. Even me nilikuwa nasoma mpk tone la mwisho na wakati huo nishafanya oral nyingi wadau wanaelewa, after kujiona ndio nikaacha kwa hiyo post, nakupa moyo usichoke assume nyuma halijatokea jambo look forward, suprises are better than dissapoitment, kwa maana katika post zoote ulizofanya na unazotarajia kuzifanya hujui ipi, muda wala saa itakayokutoa, usichoke mpendwa, kerp it up, Mungu ni mwrma anaziona jitihada zako usiogope.
 
Sawa,nitajaribu
 
Back
Top Bottom