Sumu ya nyigu
Member
- May 18, 2019
- 60
- 111
Okay, kwanza kabisa ile nimeingia picha linaanza nikasahau kusalimia [emoji23][emoji23][emoji23]. Swali la kwanza introduce yourself/background info Naanza kujielezea sijafika hata nusu mama mmoja panelist anasema next question[emoji849] nikadata! swali jingine duties and responsibilities hili nikalionea maana lilijaa kwenye mfumo, pia nikaulizwa swali la kitaaluma, lilikuja very technical coz halikua na direct answers!Hongera mkuu kwa nafasi uliyopata, kama hutojali naomba utupe experience yako ya oral ilivyokua.
Why unahisi ulikandwa oral? Ulijibu maswali mangapi kwa usahihi (unaweza kutaja na idadi ya points)?
Ni placement ya moja kwa moja au database?
Karibu kwa majibu, na hongera kwa mara nyingine.
But naamin majibu nliyotoa yalikua sahihi kulingana na taaluma yangu. Swali la mwisho things which you consider as challenges of the post requested, hapa nkataja tatu tu na wao walitaka nne!. By the way changamoto kubwa ilikua ni idadi ya points wao wanataka 4/5 nikiload zinakuja maximum 2 au 3 [emoji848] nachoka.
But uzuri nilikua confident ndo maana licha ya kupuyanga kwenye baadhi ya maeneo sikutoka kwenye reli! Cha msingi ni kuwa honest, usidanganye! point zikija mbili tell them hizo ndizo unazozijua kwa wakati huo!