Usichoke my dear mpambanaji huwa hachoki, na akichoka ujue amepata i feel you. Even me nilikuwa nasoma mpk tone la mwisho na wakati huo nishafanya oral nyingi wadau wanaelewa, after kujiona ndio nikaacha kwa hiyo post, nakupa moyo usichoke assume nyuma halijatokea jambo look forward, suprises are better than dissapoitment, kwa maana katika post zoote ulizofanya na unazotarajia kuzifanya hujui ipi, muda wala saa itakayokutoa, usichoke mpendwa, kerp it up, Mungu ni mwrma anaziona jitihada zako usiogope.