Hakuna, na chanzo cha huu Uzi kuwa na reply nyingi ni ucheleweshwaji wa matokeo unaofanywa na psrsHivi ukitoa uzi huu, kuna uzi gani mwingine ambao unahusiana na issue hizi za kazi umekuwa na reply nyingi kama hivi

Na hapo ndo utaanza kuamini kuwa utumishi wanatenda haki bila upendeleo na hata kama pdf ina nusu page niamn mm hizo page utaona ni nyingii..Raha ya pdf mtu alikute jina lake..
Nimethibitisha hili mkuu!Na hapo ndo utaanza kuamini kuwa utumishi wanatenda haki bila upendeleo na hata kama pdf ina nusu page niamn mm hizo page utaona ni nyingii..
Mm siku nikipata asali then hyo ile page ya jina langu nta i print then ntaifanyiwa lamination kabisa
Hongera mwayaNimejaribu sana kujikaza lakini nimeshindwa.
Leo ngoja nikiri wazi na kuwatia moyo wasakatonge wenzangu msio na connection kama Mimi. Mwanzoni sikuwa naamini kama unaweza kufaulu oral utumishi na kupata kazi pasi na connection! Huu mwezi umekua wa baraka sana maishani mwangu, maana nimelamba asali iliyokua Ina nafasi mbili, tena kwenye interview ambayo baada ya kutoka kwenye pannel niliamini nimekandwa vilivyo!. All in all Mungu ni mwema sana na wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Hakuna underdog kwenye interview za utumishi, Cha muhimu ni kujiandaa tu na kujiamini! All the Best kwa wasakatonge wenzangu msikate tamaa, One day yes![emoji123][emoji123][emoji123]
Hongera sana. Ukawe mtumishi mwema huko uendako.Nimejaribu sana kujikaza lakini nimeshindwa.
Leo ngoja nikiri wazi na kuwatia moyo wasakatonge wenzangu msio na connection kama Mimi. Mwanzoni sikuwa naamini kama unaweza kufaulu oral utumishi na kupata kazi pasi na connection! Huu mwezi umekua wa baraka sana maishani mwangu, maana nimelamba asali iliyokua Ina nafasi mbili, tena kwenye interview ambayo baada ya kutoka kwenye pannel niliamini nimekandwa vilivyo!. All in all Mungu ni mwema sana na wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Hakuna underdog kwenye interview za utumishi, Cha muhimu ni kujiandaa tu na kujiamini! All the Best kwa wasakatonge wenzangu msikate tamaa, One day yes![emoji123][emoji123][emoji123]
ACHA TU MWANANGU, TENA KUNAFUNUNU ZINAWEZA TOLEWA MWAKA WA FEDHA UJAO , UHUNI TUUHakuna formula na ndo kitu tunacholalamika (michakato kuchelewa)...post za RUWASA zilitangazwa mwezi wa 6, written/oral tukaitwa Mwezi wa 11...Placement mpaka leo hazijatoka
Hongera mkuu kwa nafasi uliyopata, kama hutojali naomba utupe experience yako ya oral ilivyokua.Nimejaribu sana kujikaza lakini nimeshindwa.
Leo ngoja nikiri wazi na kuwatia moyo wasakatonge wenzangu msio na connection kama Mimi. Mwanzoni sikuwa naamini kama unaweza kufaulu oral utumishi na kupata kazi pasi na connection! Huu mwezi umekua wa baraka sana maishani mwangu, maana nimelamba asali iliyokua Ina nafasi mbili, tena kwenye interview ambayo baada ya kutoka kwenye pannel niliamini nimekandwa vilivyo!. All in all Mungu ni mwema sana na wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Hakuna underdog kwenye interview za utumishi, Cha muhimu ni kujiandaa tu na kujiamini! All the Best kwa wasakatonge wenzangu msikate tamaa, One day yes![emoji123][emoji123][emoji123]
hongera afsa ,umetoboa post gani mkuu?Nimejaribu sana kujikaza lakini nimeshindwa.
Leo ngoja nikiri wazi na kuwatia moyo wasakatonge wenzangu msio na connection kama Mimi. Mwanzoni sikuwa naamini kama unaweza kufaulu oral utumishi na kupata kazi pasi na connection! Huu mwezi umekua wa baraka sana maishani mwangu, maana nimelamba asali iliyokua Ina nafasi mbili, tena kwenye interview ambayo baada ya kutoka kwenye pannel niliamini nimekandwa vilivyo!. All in all Mungu ni mwema sana na wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Hakuna underdog kwenye interview za utumishi, Cha muhimu ni kujiandaa tu na kujiamini! All the Best kwa wasakatonge wenzangu msikate tamaa, One day yes![emoji123][emoji123][emoji123]
Hizi mimi nishazipotezea, vyovyote watakavyoamua fresh tu.ACHA TU MWANANGU, TENA KUNAFUNUNU ZINAWEZA TOLEWA MWAKA WA FEDHA UJAO , UHUNI TUU
Hongera sana kwa kuingia kuwa mtumishi wa umma, na ukawe mtumishi mwema,Nimejaribu sana kujikaza lakini nimeshindwa.
Leo ngoja nikiri wazi na kuwatia moyo wasakatonge wenzangu msio na connection kama Mimi. Mwanzoni sikuwa naamini kama unaweza kufaulu oral utumishi na kupata kazi pasi na connection! Huu mwezi umekua wa baraka sana maishani mwangu, maana nimelamba asali iliyokua Ina nafasi mbili, tena kwenye interview ambayo baada ya kutoka kwenye pannel niliamini nimekandwa vilivyo!. All in all Mungu ni mwema sana na wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Hakuna underdog kwenye interview za utumishi, Cha muhimu ni kujiandaa tu na kujiamini! All the Best kwa wasakatonge wenzangu msikate tamaa, One day yes![emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaka ukipata placement unakuwa kila saa unaiangalia ile pdf, mpk unahisi wamekosea,... au unaenda kwenye web unaidownload tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani kiufupi unajifeel a human being, utafikia tu ni suala la muda tu siku yako inakuja...Na hapo ndo utaanza kuamini kuwa utumishi wanatenda haki bila upendeleo na hata kama pdf ina nusu page niamn mm hizo page utaona ni nyingii..
Mm siku nikipata asali then hyo ile page ya jina langu nta i print then ntaifanyiwa lamination kabisa
Tumuombehivi jamii forum haina option ya kumblock mtu husione comments zake??? me huyo jamaa natamani nifanye hivyo mana huwa ana comment negativity tu kwenye huu uzi wa walamba asali
kama hiyo option ipo kwa anae jua anielekeze nimblock chap nisiwe naona anachopost hapa
Hawa waharibifu wa uzi Kuna wakati wanakua chachu ya mageuzi na mabadiliko. Aendelee kuwepo tena apatikane mwingine!Tumuombe
Maxence Melo na Timu yake watuondolee Huyu kijana Kwa kuwa anaharibu maana ya Uzi huu kuwepo Wasomi tukijadili mambo ya msingi sana...
JF Tunaomba mtuondelee Huyu kijana👇Hapa chini,Nina Imani Kubwa hata wenzangu watakubaliana nami humu ndani......
Hii ID ni tatizo sana kwenye huu uzi
Blender
Hongera sana Mungu ni mwema.Kachape kazi,Ukawe mtumishi mwema.Nimejaribu sana kujikaza lakini nimeshindwa.
Leo ngoja nikiri wazi na kuwatia moyo wasakatonge wenzangu msio na connection kama Mimi. Mwanzoni sikuwa naamini kama unaweza kufaulu oral utumishi na kupata kazi pasi na connection! Huu mwezi umekua wa baraka sana maishani mwangu, maana nimelamba asali iliyokua Ina nafasi mbili, tena kwenye interview ambayo baada ya kutoka kwenye pannel niliamini nimekandwa vilivyo!. All in all Mungu ni mwema sana na wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Hakuna underdog kwenye interview za utumishi, Cha muhimu ni kujiandaa tu na kujiamini! All the Best kwa wasakatonge wenzangu msikate tamaa, One day yes![emoji123][emoji123][emoji123]
Check hio bureaucracy, unaweza ukafa njianiHuwa anateuliwa afisa mmoja kutoka utumishi anaenda halmashaur husika kwenye hizo interview za watendaji na hata za mkataba za halmashaur huwa anakuja na analipwa posho na halmashaur husika ila kuhusu maswali anatumiwa asubuhi na tume ya utumishi kabla ya interview kuanza na kufungua maswali ili ayaprint anakuwepo afisa kutoka ofisi ya usalama yani kwa DSO kiufupi wanajitahidi sana kutenda haki usawa unakuwepo ukifanya vizuri unachukuliwa bila upendeleo na akishatangaza matokeo ndipo anaondoka kurudi dodoma
Mabadiliko gani? Kuna muda ambao wengi wetu tutatumia humu ni baada ya kufanya Oral tu au labda kabla ya Written,ila muda mwingi mtu inabidi utumie kujiandaa Kwa kusoma sana kuelekea Written na Oral.Hakuna Maajabu ya kufaulu usaili wa Utumishi kama hujipangi kisawa sawa na kujithamni kuelekea saili zingine.Hawa waharibifu wa uzi Kuna wakati wanakua chachu ya mageuzi na mabadiliko. Aendelee kuwepo tena apatikane mwingine!
Psrs wanajificha kwamba eti wanasaidia wa lalahoi , kumbe wao kwa siku wanaingiza 100k + mbususuInterview ipi watu wanapewa majibu ya oral?