Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ukweli upi ss wkt Yeye mwenye kahainisha Tax Examination na Auditing ss km Tax ni hivyo vitu Viwili Sawa ?!

Achana nao hao kodi inakwenda sanjali na hesabu na sheria huyo anayejikuta mhasibu sana ukimuambia aitax partnership atabaki ametoa macho tuu na ndio maana unapewa semina pale ili kukufundisha hata jinsi ya kumtax presumptive asije akakutoa maana na tai yako kwa kukosa kujua sheria.

Wahasibu wanaamini kila kitu ni FS hahaha! Sasa presumptive wanatengeneza hesabu? Ni majitu ya kukariri IAS na kutambisha nina CPA lakini kwenye kodi walio wengi ni karatasi tuu.
 
Achana nao hao kodi inakwenda sanjali na hesabu na sheria huyo anyejikuta mhasibu sana ukimuambia aitax partnership atabaki ametoa macho tuu na ndio maana unapewa semina pale ili kukufundisha hata jinsi ya kumtax presumptive asije akakutoa maana na tai yako kwa kukosa kujua sheria.

Wahasibu wanaamini kila kitu ni FS hahaha! Sasa presumptive wanatengeneza hesabu? Ni majitu ya kukariri IAS na kutambisha nina CPA lakini kwenye kodi walio wengi ni karatasi tuu.
Amini tatizo wanaongea tu lkn hawajui uhalisia wa Taaluma Yenyewe.
 
Hivi zile ajira za takukuru mtu wa accounting kama umeitwa inakuaje ?? Na kozi ya accounting haikuwepo pale
 
Waswahili husema, “Kila mwamba ngoma huvutia kwake”. Kuvimbiana huyu mbora kuliko yule kwa kile alichokisoma chuoni wala hakutatui changamoto za wengi waliomo kwenye uzi huu.

Kila mmoja alifika chuo na kupata maarifa aliyoyapata kutokana na masomo aliyofundishwa. Hivyo, mbora wa hilo ni yule ambae alisoma darasani akaelewa na akaweza kuyafanyia kazi kwa ufanisi.
 
Kajamaa haka bhana akishaweka ndo keshakuwa msomi?

1. Cafteria services provided under discriminatory is not allowable expenses.
2. Same to medical services
emoji115.png

3. Provisional expenses
4. Expenses with capital nature.
5. Depreciation calculated without using Depreciatable asset pools under tax schedules.

Mzee hadithi ni nyingi muda ni mchache sheria inatoa miongozo mbali mbali.

Acha nikupige counter attack uta prove vipi sales za company ambayo inafanya manufacturing au inauza unprocessed agricultural products apart from using EFD Annual repo

Achana nao hao kodi inakwenda sanjali na hesabu na sheria huyo anayejikuta mhasibu sana ukimuambia aitax partnership atabaki ametoa macho tuu na ndio maana unapewa semina pale ili kukufundisha hata jinsi ya kumtax presumptive asije akakutoa maana na tai yako kwa kukosa kujua sheria.

Wahasibu wanaamini kila kitu ni FS hahaha! Sasa presumptive wanatengeneza hesabu? Ni majitu ya kukariri IAS na kutambisha nina CPA lakini kwenye kodi walio wengi ni karatasi tuu.
Kak mbona presumptive tax system ni kit easy sana sabab assessment of tax is based on average turnover received by the trader during the year of income so ni swala la kumhoji mteja na kujua ana wastani wa mauzo ya kias gani kwa siku minimum na maximum ili upate average ya total turnover kwa mwaka then unamu asses kulingana na presumptive tax schedule ambayo ipo wazi kwenye act. Ni easy sana
 
Huyu wa kumuhoji hiv si ambae hatuzi Records
 
Presumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statements
Rejea ulipoanza kuandika Max and Min daily turnover yake? Ndy ss mtu ambae anatunza Records utamuuliza hivyo au ndy tunaanza Kukariri tuliyoyafanya Field mlipokuwa mnadeal na New Taxpayer Kwenye kuwakadilia
 
Presumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statements
Hapa ndipo titanic ilipogonga mwamba na kuzama rejea sheria urekebishe hiyo definition yako, ila yote kwa yote professions zote ni muhimu sana.
 
Maelezo meeengi, shule nyiiiiingi, kwenye panel chali

Hii energy muinvest toward the right destination, i.e panel
Kila kitu kinapangwa na Mungu Boss, panel haiwezi zuia watu kuendesha mjadala, pasipo kujua kupitia hii discussion tunabadilishana knowledge pia
 
Back
Top Bottom