Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 480
- 1,069
Sure hii nakubaliana nanyi kabisa...mie nilifanya oral ya Tutorial Assistant (kiswahili) ya chuo X, tulikuwa watu 7 nafasi ilikuwa 1, kuna jamaa alipata ila juzi tu hapo Mzumbe wametangaza tena nafasi ya Tutorial Assistant (kiswahili) nafasi moja.Hadi sasa hatujawahi kuona Data base yao badala yake huwa tunaona re-advertise. Kwa hiyo tunaweza kuhitimisha kuwa hakuna database ya Wakufunzi.
Nimejaribu kujiuliza kama ile chuo X tulifanya oral watu 7 akachukuliwa 1 je sisi 6 tuliobaki wote tulifeli? Bila shaka academician post hazinaga data base