Swali lake huyo bwana juu hapo mbona ni la kitoto sana eti expenses ambazo haziwi recognized katika kodi lakini kwa wahasibu zinaruhusiwa sasa mtu aliyesoma kodi atashindwaje kujibu kitu ambacho Act inamuelekeza ama kumpatia muongozo eti Poti?Mbona jamaa kaeleza kitu kwa ufasaha hapo, eleza wewe udeep ambao yy hajeeleza. Kwangu mm naona waliosoma uhasibu ni wazuri sana kwenye masuala karibu yote yahusuyo fedha.
Ameomba hapo juu ueleze gharama angalau 5 unazozijua ambazo zinaondolewa, hujataja, kaja yy kaweka mfano hapo napo unadai waliosoma kodi wako deep, sasa weka hizo expenses hapo
Mwisho ila si kwa umuhimu mtu wa kodi anasoma sheria ambayo inamruhusu kujua field mbali mbali na namna wanavyofanya hesabu zao from Insurance companies to clubs,partnerships,trusties and others kitu ambacho mtu ambaye amepiga accounts bila CPA atapiga chafya tuu.