Navy seal soldier
Senior Member
- Oct 6, 2019
- 151
- 278
Zaid asilimia 70 ya TMO tunaoenda training chuo cha kodi intake hii 2023 ni watu wa accounts & finance chukua io
Sasa nyie si ndio watumishi huko serikalini!!! halafu hamfuati sheria, kanuni, mionģozo na taratibu za kiutumishi!!!Naomba kuuliza kama umeshapita oral interview alafu ukafanikiwa kuitwa kazini lakin weww ni mtumishi WA halmashauri X je utasubiri mpaka barua Toka kwa mkurugenzi wako WA halmashauri ndio uripoti kituo kipya Cha kazi au inakuaje apo wadau?
Bhn taarifa zako uwe unazichunguza vizuri km tu Kwa CG ulisema wote Wana CPA na ni watu wa Accounting lkn Kwa Mr Alphayo Kidata haipo hivyo ss sijui utatuaminisha Kwa maneno ganiZaid asilimia 70 ya TMO tunaoenda training chuo cha kodi intake hii 2023 ni watu wa accounts & finance chukua io
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nyie si ndio watumishi huko serikalini!!! halafu hamfuati sheria, kanuni, mionģozo na taratibu za kiutumishi!!!
Tangazo huwa linasema kabisa kama ni mtumishi upate ridhaa ya bosi wako.
Sasa sisi jobless tutakupa kitu gani?, Zaidi ya sisi kupokea hekima toka kwako mtumishi wa halmashauri, daah ngoja watumishi wenzako wakupe majibu, sababu hapa hakiharibiki kitu.
mshaitwa ?Zaid asilimia 70 ya TMO tunaoenda training chuo cha kodi intake hii 2023 ni watu wa accounts & finance chukua io
Achana nao hao kodi inakwenda sanjali na hesabu na sheria huyo anayejikuta mhasibu sana ukimuambia aitax partnership atabaki ametoa macho tuu na ndio maana unapewa semina pale ili kukufundisha hata jinsi ya kumtax presumptive asije akakutoa maana na tai yako kwa kukosa kujua sheria.
Wahasibu wanaamini kila kitu ni FS hahaha! Sasa presumptive wanatengeneza hesabu? Ni majitu ya kukariri IAS na kutambisha nina CPA lakini kwenye kodi walio wengi ni karatasi tuu.
Mmmhhh finance ni branch ya accounting, branches of accountingWanasahau Accounts ni sehemu ya Finance. Wahuni waliichomoa kwenye Finance ikawa course.
Nini kimeisha nn kinaendelea?Bora mmemaliza aisee!
Sasa tunaweza kuendelea
Hongera sana mkuu.Naomba kuuliza kama umeshapita oral interview alafu ukafanikiwa kuitwa kazini lakin weww ni mtumishi WA halmashauri X je utasubiri mpaka barua Toka kwa mkurugenzi wako WA halmashauri ndio uripoti kituo kipya Cha kazi au inakuaje apo wadau?
Sawa hongereni sana, mkafanye kazi jamani. Nendeni mkasaidie Mh. Rais kukusanya kodi. Acheni tambo nyingi hapa jukwaani, kuna mtu amesema mnakumbushia jinsi alivyokandwa kwenye hiyo kada.Zaid asilimia 70 ya TMO tunaoenda training chuo cha kodi intake hii 2023 ni watu wa accounts & finance chukua io
Nani mshindi kati ya mazakayo na wahasibu nimnunulie pepsi bigBora mmemaliza aisee!
Sasa tunaweza kuendelea
😂😂
Wa humu nadhan washazidi vigezoAsali inameremeta huko Ngorongoro, wenye sifa ongezeni Received then muendelee na maisha mengine.
Naona matangazo mengi kwa kweli.Asali inameremeta huko Ngorongoro, wenye sifa ongezeni Received then muendelee na maisha mengine.
Huu mtanange hautopatikan nan mbabe kama Russia na Ukraine tuu😁Nyie watu wa Tax na account si mmalize tofauti zenu wazee?
Tajadili placements kwanza🤣