Nenda Dodoma chukua barua. Kisha nenda kwa HR wako muelezee kuwa umepata kazi mpya hivyo wakufungie data sheet. Akileta kauzibe funga mlango mwambie haya ni maisha na sisi ni wanaume tunapambana mchane tu FACE TO FACE mkiwa wanaume wawili mpe na elfu 10 ya maji.Naomba kuuliza kama umeshapita oral interview alafu ukafanikiwa kuitwa kazini lakin weww ni mtumishi WA halmashauri X je utasubiri mpaka barua Toka kwa mkurugenzi wako WA halmashauri ndio uripoti kituo kipya Cha kazi au inakuaje apo wadau?