HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijana Mwifwa yuko speed, sasa angetupa link io, tulikuwa pamoja humu nyakati za huzuni, nyakati za furaha izi hataki ku share link.
Kipando bado wakuu, kuweni na subira, mambo yakinyooka kitakuja chenyewe.

Parking ya huku utafikiri ni Yard Maseniors wana vipando si mchezo[emoji3][emoji3]
 
Kajamaa haka bhana akishaweka ndo keshakuwa msomi?

1. Cafteria services provided under discriminatory is not allowable expenses.
2. Same to medical services
emoji115.png

3. Provisional expenses
4. Expenses with capital nature.
5. Depreciation calculated without using Depreciatable asset pools under tax schedules.

Mzee hadithi ni nyingi muda ni mchache sheria inatoa miongozo mbali mbali.

Acha nikupige counter attack uta prove vipi sales za company ambayo inafanya manufacturing au inauza unprocessed agricultural products apart from using EFD Annual repo

Achana nao hao kodi inakwenda sanjali na hesabu na sheria huyo anayejikuta mhasibu sana ukimuambia aitax partnership atabaki ametoa macho tuu na ndio maana unapewa semina pale ili kukufundisha hata jinsi ya kumtax presumptive asije akakutoa maana na tai yako kwa kukosa kujua sheria.

Wahasibu wanaamini kila kitu ni FS hahaha! Sasa presumptive wanatengeneza hesabu? Ni majitu ya kukariri IAS na kutambisha nina CPA lakini kwenye kodi walio wengi ni karatasi tuu.
Kak mbona presumptive tax system ni kit easy sana sabab assessment of tax is based on average turnover received by the trader during the year of income so ni swala la kumhoji mteja na kujua ana wastani wa mauzo ya kias gani kwa siku minimum na maximum ili upate average ya total turnover kwa mwaka then unamu asses kulingana na presumptive tax schedule ambayo ipo wazi kwenye act. Ni easy sana
 
Huyu wa kumuhoji hiv si ambae hatuzi Records
 
Presumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statements
Rejea ulipoanza kuandika Max and Min daily turnover yake? Ndy ss mtu ambae anatunza Records utamuuliza hivyo au ndy tunaanza Kukariri tuliyoyafanya Field mlipokuwa mnadeal na New Taxpayer Kwenye kuwakadilia
 
Presumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statements
Hapa ndipo titanic ilipogonga mwamba na kuzama rejea sheria urekebishe hiyo definition yako, ila yote kwa yote professions zote ni muhimu sana.
 
Presumptive tax system ina apply kwa wote those who maintain accurate financial records and those who do not kikubwa tu ukiwa na turnover ya 100m and above lazima u keep records na uandae audited financial statements
Presumptive tax payer halazimiki kuandaa financial statements
 
Maelezo meeengi, shule nyiiiiingi, kwenye panel chali[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii energy muinvest toward the right destination, i.e panel
Kila kitu kinapangwa na Mungu Boss, panel haiwezi zuia watu kuendesha mjadala, pasipo kujua kupitia hii discussion tunabadilishana knowledge pia [emoji28]
 
Naomba kuuliza kama umeshapita oral interview alafu ukafanikiwa kuitwa kazini lakin weww ni mtumishi WA halmashauri X je utasubiri mpaka barua Toka kwa mkurugenzi wako WA halmashauri ndio uripoti kituo kipya Cha kazi au inakuaje apo wadau?
 
Back
Top Bottom