Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hadi sasa hatujawahi kuona Data base yao badala yake huwa tunaona re-advertise. Kwa hiyo tunaweza kuhitimisha kuwa hakuna database ya Wakufunzi.
Sure hii nakubaliana nanyi kabisa...mie nilifanya oral ya Tutorial Assistant (kiswahili) ya chuo X, tulikuwa watu 7 nafasi ilikuwa 1, kuna jamaa alipata ila juzi tu hapo Mzumbe wametangaza tena nafasi ya Tutorial Assistant (kiswahili) nafasi moja.

Nimejaribu kujiuliza kama ile chuo X tulifanya oral watu 7 akachukuliwa 1 je sisi 6 tuliobaki wote tulifeli? Bila shaka academician post hazinaga data base
 
Vijana, kwenye Uhasibu KODI ni LAZIMA sio OPTION. Afu nimesema hapo, weka hizo expenses, hii kusema sijui Section ngapi imeeleza ndio nini?
Hapo Usitegemee km naweza kukujibu? Maana hata hizo ambazo Ni NON ALLOWABLE EXPENSES/EXPENDITURES zinakuwa add back Kwa sababu ya Mistreated Tu (Km Ikisoma vzr nilisema zinapingana na Sheria yako)
 
Vijana, kwenye Uhasibu KODI ni LAZIMA sio OPTION. Afu nimesema hapo, weka hizo expenses, hii kusema sijui Section ngapi imeeleza ndio nini?

Kajamaa haka bhana akishaweka ndo keshakuwa msomi?

1. Cafteria services provided under discriminatory is not allowable expenses.
2. Same to medical services
3. Provisional expenses
4. Expenses with capital nature.
5. Depreciation calculated without using Depreciatable asset pools under tax schedules.

Mzee hadithi ni nyingi muda ni mchache sheria inatoa miongozo mbali mbali.

Acha nikupige counter attack uta prove vipi sales za company ambayo inafanya manufacturing au inauza unprocessed agricultural products apart from using EFD Annual report?

Pasi kwako CPA and ACCA.
 
Hii ndio counter umepiga jamaa? We jamaa lala tu sasa huna ujualo.
 
Hii ndio counter umepiga jamaa? We jamaa lala tu sasa huna ujualo.

Jibu Mkuu sio wewe tuu ambaye haujui hili so hebu tujibu tuone, kama tax administrator utaverify vipi? Naona unajificha na emoji za vicheko jibu hapo.

Kwa kukusaidia unajua kitu kinaitwa Cess tax au bado ni usingizi mzito kwako?
 
Kwanini sijawahi sikia commissioner wa tra ana elimu tu ya kodi why wengi huwa na accountancy plus cpa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kwamba mtu wa accounts akija kwenye field ya kodi anakuwa nondo sana especially kwenye tax examination na auditing anakuwa ashikiki hii ni kwa sababu anakuwa na uelewa mpana juu ya financial statements preparation and interpretation,gaps zote mianya yote anakuwa nayo familiar
 
Hawataki kukubali ukweli MCHUNGU.
 
Hawa hawanaga muafaka utachok ww na hutapata mshindi🤣🤣🤣🤣🤣, wakisha anza hawa unawaachia uwanja wafarakane.
Ndio vizuri ,wengine ambao hatukugusa masomo ya biashara /uchumi chuo au Advanced level ndio tunajikumbushia bookkeeping ya Olevel , terminologies hizo kuna ambazo bado niko farmiliar nazo ,😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom