CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,014
Hajielewi huyo jamaaMkuu, acha kujidanganya. Futa kabisa hiyo "notion"
Hajielewi huyo jamaaMkuu, acha kujidanganya. Futa kabisa hiyo "notion"
Inawe kuwa Sawa lkn Msing wa Kodi unakata Kabsa kuamini utaratibu wa kiacc katika calculations za kikodi maana kuna expenses ni Ruksa kuziandika kwenye Financial Statement lkn kwenye Sheria za kikodi zinapingwa (hapa kuna neno wanasema whole and inclusive) ndy maana wanaangalia km expenses na income zilizoandikwa zina husika Moja Kwa Moja kwenye Biashara uliyokuwa registered hapa ni km watu wake wanaofanya supply ya both taxable na non taxable lkn kwny FS zao wao wanaandika vyote Kwa Pmj)Kuna ishu za Examination mkuu, bila wale waliosomea Uhasibu hutoboi, udanganyifu na ukwepaji wa kodi kupitia Financial statements utakuwa juu, uwepo wa hao watu unapunguza hatari ya udanganyifu.
Hata ufanisi wa Kazi, waliosomea Uhasibu hapa TRA ndio wanajua mambo mengi zaidi, kuliko waliosoma KODI, kwanini? Ni kwa sababu KODI ni ZAO LA PROFIT na hadi ufikie kwenye Profit basi hao waliosoma uhasibu ndio wanajua hasa expenses zipi zimechomekwa. Mf. Ni ngumu kwa aliyesoma KODI kujua aina ya expenses kwa undani.
Watu waliosomea kodi wanafaa zaidi kuwa Tax Consultants kuliko hata TMO, CUSTOMS.
Nakubaliana na we 100%TRA kuna units/Departments
Kwa upande wa Tax regions ukiachana na HQ
1. Block management
2. Real estate and Non Tax Revenue
3. EFD
4. Examination and VAT control
5. Audit
6. Business Intelligence
7. HR
8. ICT
9. Registry
Hapo mtu wa Account atafit vizuri kwenye Examination, Audit ila Department zilizobaki tukitoa HR, Registry, Ict mtu wa Tax ndo sehem zake. Mtu aliyesoma Tax anajua kodi kwa undani zaidi. Huko Customs pia ndo sehem zao,
ITA wapo vzr sn kweny CustomsUkiwa TRA ndio utajua waliosomea Uhasibu ndio muhimu zaidi ya hao waliotoka ITA.
We jama unaweza kuzitaja expenses 5 ambazo kwenye uhasibu zinakubalika na kwenye Kodi hazikubaliki?Inawe kuwa Sawa lkn Msing wa Kodi unakata Kabsa kuamini utaratibu wa kiacc katika calculations za kikodi maana kuna expenses ni Ruksa kuziandika kwenye Financial Statement lkn kwenye Sheria za kikodi zinapingwa (hapa kuna neno wanasema whole and inclusive) ndy maana wanaangalia km expenses na income zilizoandikwa zina husika Moja Kwa Moja kwenye Biashara uliyokuwa registered hapa ni km watu wake wanaofanya supply ya both taxable na non taxable lkn kwny FS zao wao wanaandika vyote Kwa Pmj)
Lkn Mtu wa Kodi anasoma Piah Masomo ya account (Japo sio sn km muhusika) na hivyo hivyo Kwa mtu wa Acc anavyosoma Code lkn kuniambia mtu wa Acc yupo vizuri Kweny Kodi kuliko mtu wa Kodi mwenyew hii nakata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nahisi ungeelewa taxable na non taxable supply ungeweza kutambua nilimaaniaha nn.We jama unaweza kuzitaja expenses 5 ambazo kwenye uhasibu zinakubalika na kwenye Kodi hazikubaliki?
Kwenye muktadha wa kikodi, sio kwamba hazikubaliki ila mazingira fulani zinaweza kupunguza au kuongeza kodi. Mfano DEPRECIATION hii mara nyingi hufanyiwa adjustment kwakuwa makampuni hupanga rate tofatuti na ile table ya TRA.
Expenses zingine huondolewa kwakuwa tayari zimetumika kwenye kucalculate PAYE nk.
Hii dhana ya kukariri vitu tuiondoe vichwani mwetu.
Naelewa sana kijana, mi nimejaribu kukupa mwanga, kuondoa hayo madaftari kichwani, uhalisia hauko kama usemavyo kwamba unaziondoa tu bila sababu za msingi.Nahisi ungeelewa taxable na non taxable supply ungeweza kutambua nilimaaniaha nn.
[emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871] Naendelea kujifunza aisee....Naelewa sana kijana, mi nimejaribu kukupa mwanga, kuondoa hayo madaftari kichwani, uhalisia hauko kama usemavyo kwamba unaziondoa tu bila sababu za msingi.
Nakupa mfano mdogo, Kampuni ikiwa inatoa Chakula kwa wafanyakazi wake bila kubagua yaani wote wanapata hiyo expenses inakubalika kwa kuwa FOOD & BAVERAGES expenses. Lakini expenses hiyo ikiwa imebagua wafanyakazi let say inatoa chakula kwa top management tu ya kampuni hapo kwenye FS TRA wataitoa kwenye vitabu kwa maana haikuhusisha wafanyakazi wote.
Hiyo dhana yako naielewa vizuri, nakupa picha namna gani WAHASIBU wana uwanja mpana kuliko waliosoma KODI tu.
Sababu ya kuitoa ni Moja Tu km ipo na ubaguzi (hii itahesabiwa Kwenye Employment Income ya Mtu km Benefit in kind) ss ukisema unaiandika huku ni kitu ambacho hakipo Sawa.Naelewa sana kijana, mi nimejaribu kukupa mwanga, kuondoa hayo madaftari kichwani, uhalisia hauko kama usemavyo kwamba unaziondoa tu bila sababu za msingi.
Nakupa mfano mdogo, Kampuni ikiwa inatoa Chakula kwa wafanyakazi wake bila kubagua yaani wote wanapata hiyo expenses inakubalika kwa kuwa FOOD & BAVERAGES expenses. Lakini expenses hiyo ikiwa imebagua wafanyakazi let say inatoa chakula kwa top management tu ya kampuni hapo kwenye FS TRA wataitoa kwenye vitabu kwa maana haikuhusisha wafanyakazi wote.
Hiyo dhana yako naielewa vizuri, nakupa picha namna gani WAHASIBU wana uwanja mpana kuliko waliosoma KODI tu.
Ila aliyesoma tax anakua deep kuliko wewe uliyedonoa donoa hapo hauwezi shindana.Naelewa sana kijana, mi nimejaribu kukupa mwanga, kuondoa hayo madaftari kichwani, uhalisia hauko kama usemavyo kwamba unaziondoa tu bila sababu za msingi.
Nakupa mfano mdogo, Kampuni ikiwa inatoa Chakula kwa wafanyakazi wake bila kubagua yaani wote wanapata hiyo expenses inakubalika kwa kuwa FOOD & BAVERAGES expenses. Lakini expenses hiyo ikiwa imebagua wafanyakazi let say inatoa chakula kwa top management tu ya kampuni hapo kwenye FS TRA wataitoa kwenye vitabu kwa maana haikuhusisha wafanyakazi wote.
Hiyo dhana yako naielewa vizuri, nakupa picha namna gani WAHASIBU wana uwanja mpana kuliko waliosoma KODI tu.
SureSababu ya kuitoa ni Moja Tu km ipo na ubaguzi (hii itahesabiwa Kwenye Employment Income ya Mtu km Benefit in kind) ss ukisema unaiandika huku ni kitu ambacho hakipo Sawa.
Sema tusibishane Sana Mtu wa Kodi kweny Mambo ya Kodi yupo vyema zaidi sababu hao watu wa Accounting Masomo ya Kodi kwao ni Option tu na hawasomi deep zaidi
Akae akijua ushuzi hauwezi kuzima kibatali, mtu aliyesomea kodi yupo deep kwenye kodiSababu ya kuitoa ni Moja Tu km ipo na ubaguzi (hii itahesabiwa Kwenye Employment Income ya Mtu km Benefit in kind) ss ukisema unaiandika huku ni kitu ambacho hakipo Sawa.
Sema tusibishane Sana Mtu wa Kodi kweny Mambo ya Kodi yupo vyema zaidi sababu hao watu wa Accounting Masomo ya Kodi kwao ni Option tu na hawasomi deep zaidi
Jamaa sijui anataka kusema Nn maana Mtu wa Taxation kwenye modules 36 (Kozi zote Kwa Miaka yote 3) anaweza kusomo modules 24+ ambazo zote ni Tax tupuSure
Mbona jamaa kaeleza kitu kwa ufasaha hapo, eleza wewe udeep ambao yy hajeeleza. Kwangu mm naona waliosoma uhasibu ni wazuri sana kwenye masuala karibu yote yahusuyo fedha.Mfano wa pdf la kanzidata
Ila aliyesoma tax anakua deep kuliko wewe uliyedonoa donoa hapo hauwezi shindana.
Pia kila course ina umuhimu wake na tunategemeana kikubwa wote tulambe asali
Tax sio option kaka ni core course acheni dharau mtu anasoma public accounting plus taxation separate pia kwenye CPA asome anachotuzidi wa kodi ni vifungu vya sheria ila calculations hapanaSababu ya kuitoa ni Moja Tu km ipo na ubaguzi (hii itahesabiwa Kwenye Employment Income ya Mtu km Benefit in kind) ss ukisema unaiandika huku ni kitu ambacho hakipo Sawa.
Sema tusibishane Sana Mtu wa Kodi kweny Mambo ya Kodi yupo vyema zaidi sababu hao watu wa Accounting Masomo ya Kodi kwao ni Option tu na hawasomi deep zaidi
Kiongozi Module ndio nini? Kuna kitu tofatuti na kile kitabu cha NBAA? Kuna utofauti mnasoma kupita pale?Jamaa sijui anataka kusema Nn maana Mtu wa Taxation kwenye modules 36 (Kozi zote Kwa Miaka yote 3) anaweza kusomo modules 24+ ambazo zote ni Tax tupu
Lkn huyo wa Accounting unakuta ni Modules 6 tu tena hapa ana Options ya Kuchagua asome au asisome uwezi kuniambia awe Bora kwenye kitu ambacho kwake sio core
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Tax sio option kaka ni core course acheni dharau mtu anasoma public accounting plus taxation separate pia kwenye CPA asome anachotuzidi wa kodi ni vifungu vya sheria ila calculations hapana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sema tatzo mwamba CPA yake ndy inafanya abishane lkn akirudi Nyuma wkt anasoma accounting (ni kweli aliweza kupata knowledge ya kutosha Kwenye Kodi) au kaja kujazia knowledge baada ya kuanza kusoma hyo CPA (Japo sio deep lkn wanagusa sn taxation kuliko walivyogusa kwenye Bachelor ya accounting)Akae akijua ushuzi hauwezi kuzima kibatali, mtu aliyesomea kodi yupo deep kwenye kodi
Usijali mkuu, kesho kutakuwa na placementsukoko mtupu,tillnow no active placement