HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,413
Ni kweli mkuu sema izi kazi za mkataba inatakiwa uwe chawa kweli kweli kwa boss ili wakubakishe jambo ambalo kwangu ni gumu mno kujipendekeza luten
Hahahahaha! Kwamba haya mambo ya kusifia sifia hata vitu vya hovyo wewe huyawezi kabisa.