HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,413
Na kweli Mkuu,nipo ndani ya muda kabisa.
Asante sana.
Na kweli Mkuu,nipo ndani ya muda kabisa.
Kabisa ukifanya hivyo huwezi kuwa na stress[emoji4][emoji4]
Mojawapo mimi niliambiwa maneno haya tena na huyu HS CODE pamoja na wengine
Nakala kwa punje haradari
Angesema kuanzia mwaka gani, maana ni wengi SS Wana maduka ya kuuza simVijana wa SUA mnajambo lenu.[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2514161
Umeongea la maana sana,Ila kuna vitu vinachanganya sana. Kwa hiyo wakuu, ambaye atakosa nafasi na ikabidi kukaa kwenye kanzi data na akajakupangiwa kazi ya kudumu ni wamaana kuliko atakayeingia Oral na kufaulu kwa kupangiwa kazi ya mkataba wa mwaka mmoja?
Mfano mzuri ni WCF.
Au hawa wa kazi za mkataba, Serikali huwa inautaratibu gani dhidi yao. Maana kama mwaka ukiisha wanarudi tena kusugua benchi, nayo ni yale yale tu.
Inaeza ikawa mkataba wa mwaka ila ukiisha una renew kama wanavyofanyaga Tanroads au TARURA. Wapo wadau wa mkataba washafanya zaidi ya miaka 10Ila kuna vitu vinachanganya sana. Kwa hiyo wakuu, ambaye atakosa nafasi na ikabidi kukaa kwenye kanzi data na akajakupangiwa kazi ya kudumu ni wamaana kuliko atakayeingia Oral na kufaulu kwa kupangiwa kazi ya mkataba wa mwaka mmoja?
Mfano mzuri ni WCF.
Au hawa wa kazi za mkataba, Serikali huwa inautaratibu gani dhidi yao. Maana kama mwaka ukiisha wanarudi tena kusugua benchi, nayo ni yale yale tu.
Nafikri kutakua na namna wanatreat hzi kz za mkatabaUmeongea la maana sana,
Ina maana kwenye database Yao hakuna software developer kweli
Kwanini wasingechukua intern?? Kupiga mwaka mmoja tena kurudi mtaani hii sio fair kabisaIla kuna vitu vinachanganya sana. Kwa hiyo wakuu, ambaye atakosa nafasi na ikabidi kukaa kwenye kanzi data na akajakupangiwa kazi ya kudumu ni wamaana kuliko atakayeingia Oral na kufaulu kwa kupangiwa kazi ya mkataba wa mwaka mmoja?
Mfano mzuri ni WCF.
Au hawa wa kazi za mkataba, Serikali huwa inautaratibu gani dhidi yao. Maana kama mwaka ukiisha wanarudi tena kusugua benchi, nayo ni yale yale tu.
Kwann wana renew si wawa ajiri moja kwa moja tuInaeza ikawa mkataba wa mwaka ila ukiisha una renew kama wanavyofanyaga Tanroads au TARURA. Wapo wadau wa mkataba washafanya zaidi ya miaka 10
mkuu kma una vigezo omba, mi nimerusha . sio WCF tu hata taasis za kibenki kama NMB nature za kazi zao ni renewable contracts. hpo WCF nasikia maslahi ni matamu balaaKwanini wasingechukua intern?? Kupiga mwaka mmoja tena kurudi mtaani hii sio fair kabisa
mkuu kma una vigezo omba, mi nimerusha . sio WCF tu hata taasis za kibenki kama NMB nature za kazi zao ni renewable contracts. hpo WCF nasikia maslahi ni matamu balaa
Ni kweli mkuu sema izi kazi za mkataba inatakiwa uwe chawa kweli kweli kwa boss ili wakubakishe jambo ambalo kwangu ni gumu mno kujipendekeza lutenmkuu kma una vigezo omba, mi nimerusha . sio WCF tu hata taasis za kibenki kama NMB nature za kazi zao ni renewable contracts. hpo WCF nasikia maslahi ni matamu balaa
Kupunguza njaa bora ukaomba tu mtaani pamoto unless kama una kaz sehemuNi kweli mkuu sema izi kazi za mkataba inatakiwa uwe chawa kweli kweli kwa boss ili wakubakishe jambo ambalo kwangu ni gumu mno kujipendekeza luten
Ttzo je wew kama contrct utapata hayo maslahii?au utaishia kula mshahara tumkuu kma una vigezo omba, mi nimerusha . sio WCF tu hata taasis za kibenki kama NMB nature za kazi zao ni renewable contracts. hpo WCF nasikia maslahi ni matamu balaa
Mtaani kuwa pamoto haimaniishi kuwa ndo kila kazi ufanye.Kupunguza njaa bora ukaomba tu mtaani pamoto unless kama una kaz sehemu
Ujalzimishwa mkuu huitaki unaachaMtaani kuwa pamoto haimaniishi kuwa ndo kila kazi ufanye.
Tupo tofauti na kila 1 ana malengo yake na maono yake so unafuata unaloliona kwko ni sawaMtaani kuwa pamoto haimaniishi kuwa ndo kila kazi ufanye.
Hahahaha vijana bwanaTtzo je wew kama contrct utapata hayo maslahii?au utaishia kula mshahara tu
yaah sababu unakua mtumishi waoTtzo je wew kama contrct utapata hayo maslahii?au utaishia kula mshahara tu
hahaaaaNi kweli mkuu sema izi kazi za mkataba inatakiwa uwe chawa kweli kweli kwa boss ili wakubakishe jambo ambalo kwangu ni gumu mno kujipendekeza luten