Navy seal soldier
Senior Member
- Oct 6, 2019
- 151
- 278
What if pdf ikatoka keshohuu ndio ukweli
What if pdf ikatoka keshohuu ndio ukweli
😂😂😂 wikii inayo anza kesho wanatoa pdfWhat if pdf ikatoka kesho
March mbali sanaaPDF anza kuifikiria March na kuendelea Mkuu.
Oral watu hamsini kwa Uzoefu wanaweza kuhudhuria wangapi, huwa wanafika wote
Kaeni mkao wa kula kesho mzee wa flash anafanya yake😂😂😂 wikii inayo anza kesho wanatoa pdf
Yeah hata mie nimesikia hiliMarch mbali sanaa
Watu wana uhaba wanataka watu kazini asap
Wapi mkuu umezinyaka 🤣Yeah hata mie nimesikia hili
Ok nimekupataOral mahudhurio huwa mostly ni wote wanfika labda kwa kada walizoita oral moja kwa moja
Tupo hapa wadogo zangu.March mbali sanaa
Watu wana uhaba wanataka watu kazini asap
Hahahaaaa.Haya mahojiano ya status ni endless, si msubiri pdf jamani[emoji3]
Ahsante sana, karibu tukuhudumie[emoji3][emoji3]Hahahahaha! Asante sana ndugu Mkaguzi.
Hivi unajua michakato mpaka Ajira inavyoenda kutangazwa Kuna hatua zipi zimepitiwa???Unajua kuna kitu atukielewi utumishi awacheleweshi placement ila taasisi husika ndo zina chelewa kuita watumishi wao wapya kazini
march kwa sasa relaxTupo hapa wadogo zangu.
Sidhani kama mchakato huo ndo unachelewesha posta flan, inategemea na uharaka na uhitaj wa watumishi kwenye hiyo taasis…ndomaana hata mwaka jana wale wa TRA walikua zaidi ya elfu1 lakin placements zao zilitoka ndan ya wiki tatu kwasababu ya uhitaj ni mkubwa…jambo hata liwe lina hatua mia ila kama ni urgent lazima lifanyike haraka..so sipingan naww pdf zinaweza toka hata mwez wanne lkn sababu sio mchakato wa ajira.Hivi unajua michakato mpaka Ajira inavyoenda kutangazwa Kuna hatua zipi zimepitiwa???
Nenda kasome Mchakato wa Ajira kwenye Uzi wa wao PSRS.
Ajira zote si zinapitia mchakato mmoja sa kwa nini taasisi nyingine znawahi kutoa placement hata baada ya mwezi au wiki tatu na nyingine znachelew znachukua miezi mitatu ?Hivi unajua michakato mpaka Ajira inavyoenda kutangazwa Kuna hatua zipi zimepitiwa???
Nenda kasome Mchakato wa Ajira kwenye Uzi wa wao PSRS.
yani huu ndio ukweli [emoji419]Sidhani kama mchakato huo ndo unachelewesha posta flan, inategemea na uharaka na uhitaj wa watumishi kwenye hiyo taasis…ndomaana hata mwaka jana wale wa TRA walikua zaidi ya elfu1 lakin placements zao zilitoka ndan ya wiki tatu kwasababu ya uhitaj ni mkubwa…jambo hata liwe lina hatua mia ila kama ni urgent lazima lifanyike haraka..so sipingan naww pdf zinaweza toka hata mwez wanne lkn sababu sio mchakato wa ajira.
Mimi Hapo Sina majibu.Kwa kuwa nami ni muombaji wa Ajira kama wewe.Maana hata Mimi nilijua mkiitwa Usaili,mkafanya usaili basi Hapo ni wiki mbili tu au labda mwezi mtaanza kuitwa.Kumbe vice versa....Ajira zote si zinapitia mchakato mmoja sa kwa nini taasisi nyingine znawahi kutoa placement hata baada ya mwezi au wiki tatu na nyingine znachelew znachukua miezi mitatu ?
Maelezo mazuri📌Mimi Hapo Sina majibu.Kwa kuwa nami ni muombaji wa Ajira kama wewe.Maana hata Mimi nilijua mkiitwa Usaili,mkafanya usaili basi Hapo ni wiki mbili tu au labda mwezi mtaanza kuitwa.Kumbe vice versa....
Unayojiuliza hata Mimi najiuliza.Nadhani ungewauliza PSRS Kwa kuwa wapo humu n