mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Mungu asaidie kwa kweli.Hizi taasisi bila shaka mkeka wake unatoka wiki hii,, maana ni zaidi ya miezi 2 sasa
Mungu asaidie kwa kweli.Hizi taasisi bila shaka mkeka wake unatoka wiki hii,, maana ni zaidi ya miezi 2 sasa
mnatuchanganya sana na hzo status mjue ebu tusubr PDF kwanzaSijaingia kwenye App tangu juzi, leo nakuta Selected for Pratical int (Post ambayo haikuwa na Prac)
Post ambayo placements zilishatoka nimekuta Selected for Oral (Nilifanya oral)
Kuna ambaye yupo kama mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ni mzito sana kwenye hayo mamboHahahahaha! Kwamba haya mambo ya kusifia sifia hata vitu vya hovyo wewe huyawezi kabisa.
ata mm ni same scenarioSijaingia kwenye App tangu juzi, leo nakuta Selected for Pratical int (Post ambayo haikuwa na Prac)
Post ambayo placements zilishatoka nimekuta Selected for Oral (Nilifanya oral)
Kuna ambaye yupo kama mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
weka sreenshotSijaingia kwenye App tangu juzi, leo nakuta Selected for Pratical int (Post ambayo haikuwa na Prac)
Post ambayo placements zilishatoka nimekuta Selected for Oral (Nilifanya oral)
Kuna ambaye yupo kama mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
kama imebadilika kuwa selected for practical je?Za ndaniiiiiii kabisa.
Kama ukifanya oral status yako ilipitia changes hizi.
Selected for null then ikarudi selected for all jua upo kwenye pdf wakuu amini .
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za ndaniiiiiii kabisa.
Kama ukifanya oral status yako ilipitia changes hizi.
Selected for null then ikarudi selected for all jua upo kwenye pdf wakuu amini .
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
subiri pdf na umuamini mungu anaenda kutenda jambo nzuri kwako.
Bila shaka wewe umefanya November pia??
Amina[emoji120]subiri pdf na umuamini mungu anaenda kutenda jambo nzuri kwako.
Ooohh pale pale Asha Rose Migiro.Basi Tuzidi kuomba Mungu mambo yaende sawa.
kwaiyo kumbe wale wote hawapo database[emoji134]Naona wametangaza nafasi za ajira nyingi tu wenye sifa mkaongeze received
Database si Hadi ufanye oral, Kwan oral ya mda na lga ishafanyika??kwaiyo kumbe wale wote hawapo database[emoji134]