mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,003
- 2,294
Ajira zote si zinapitia mchakato mmoja sa kwa nini taasisi nyingine znawahi kutoa placement hata baada ya mwezi au wiki tatu na nyingine znachelew znachukua miezi mitatu ?
Mimi Hapo Sina majibu.Kwa kuwa nami ni muombaji wa Ajira kama wewe.Maana hata Mimi nilijua mkiitwa Usaili,mkafanya usaili basi Hapo ni wiki mbili tu au labda mwezi mtaanza kuitwa.Kumbe vice versa....
Unayojiuliza hata Mimi najiuliza.Nadhani ungewauliza PSRS Kwa kuwa wapo humu ndani.
Kuna baadhi ya TAARIFA ni vigumu Kwa Taasisi kuweka wazi, wanachojitahidi ni kufanya kazi Kwa haraka na Kwa kuzingatia weledi wa kazi.
N:B Tuwe na subira jamani, wanaosubiri hizi placement ni wengi sana tuache wahusika wafanye kazi yao. Kama mtu umepata kazi hata placement itoke December utakuwepo tu.