HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ila kuna vitu vinachanganya sana. Kwa hiyo wakuu, ambaye atakosa nafasi na ikabidi kukaa kwenye kanzi data na akajakupangiwa kazi ya kudumu ni wamaana kuliko atakayeingia Oral na kufaulu kwa kupangiwa kazi ya mkataba wa mwaka mmoja?

Mfano mzuri ni WCF.

Au hawa wa kazi za mkataba, Serikali huwa inautaratibu gani dhidi yao. Maana kama mwaka ukiisha wanarudi tena kusugua benchi, nayo ni yale yale tu.

Ni rahisi kupata kazi ukiwa kazini mkuu haijalishi ni temporary au permanent.

Kupitia hizo kazi za mkataba ndio Kuna connection za kupata kazi nyingine pia uzoefu wa kazi ambao utakubeba katka utafutaji wa kazi.
 
Mara nyingi huwa ni renewable hzo temporary contracts na unakua huna tofauti na mtu wa permanent, mshahara sawa, benefits sawa....mkipata chance ombeni, tena ndio itakua rahisi kupata permanent contract maana hata zile nauli za dodoma hutowaza tena, utafanya interview ki boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamuwezi kuwa sawa kwa sababu kuna baadhi ya benefit anapewa permanent staff tu. Mfano kwenye taasis za kibenki, kuna baadhi ya huduma mtu wa mkataba hapati, mfano bima, kuna baadhi ya system za kufanyia kazi huwezi kupewa uzitumie kisa tu siyo permanent. Huwezi kukopesheka kisa tu siyo permanent
 
Yaap Mkopo Benki huwezi kupata ila BIMA unakatwa hela maisha yanaendelea.
 
Hamuwezi kuwa sawa kwa sababu kuna baadhi ya benefit anapewa permanent staff tu. Mfano kwenye taasis za kibenki, kuna baadhi ya huduma mtu wa mkataba hapati, mfano bima, kuna baadhi ya system za kufanyia kazi huwezi kupewa uzitumie kisa tu siyo permanent. Huwezi kukopesheka kisa tu siyo permanent
Kwa serikalini ni very minor benefits kama kukopesheka, ila vingine vyote(interms of pesa) sawa hata bima temporary wanapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom