HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nijiongezee nini wewe Jooh.. YouTube nikaangalie hotuba ya masaa 3 wakati nagain nini kikubwa..?
Kuna viclips vidogo vya dakika 2 au Tatu vinavyoenda mojakwamoja kwenye point hvyo ndio tunataka.
Kama hamna basi kausheni.
Mwenzako kasikiliza iyo ya masaa 3 na ww kasikilize mbona ktu simple tu
 
jenista alivosemea ishu za database watu kibao walikuja na post ile umu ndani kama evidence so siooni sababu ya kuendelea kujikanyaga tu,kwani link bei gani wazee kui share? hio info youtube haipo. na hotuba ya maza inamasaa 2 youtube so nisikize neno kwaneno masaa mawili ama

Kwan ukienda kufanya interview unatakaga na evidence ya maswali wametoa wapi? Weka bundle kaskilize hata kama masaa 6 ndo evidence hiyoo kiongozii
 
Nijiongezee nini wewe Jooh.. YouTube nikaangalie hotuba ya masaa 3 wakati nagain nini kikubwa..?
Kuna viclips vidogo vya dakika 2 au Tatu vinavyoenda mojakwamoja kwenye point hvyo ndio tunataka.
Kama hamna basi kausheni.
Kama hugain ktu piga chini mbona unataka source ya nini sasa
 
Watu wa umu bhna utasikia tuma picha mara screenshot mara link tu prove uprove nini wakat mwenzako kafanya research kafatilia ni ww sasa kujiongeza kuona alichosema ni kwel au la kwa kuingia chmbo kuja na majibu sahihi lakin sio kubisha bisha tu

[emoji28] sasa kama hapa tu anataka slope hivii kesho akiajiliwa ataweza mputa mputaa
Mpaka clip anataka atengenezewe kipande cha dk 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28] sasa kama hapa tu anataka slope hivii kesho akiajiliwa ataweza mputa mputaa
Mpaka clip anataka atengenezewe kipande cha dk 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi Ajira zote mnazolilia ni njaa tu zinawasumbua.. bongo hii hakuna mfanyakazi anafanyakazi kwa weledi,moyo na uzalendo.. ndo maana ubadhirifu umejaa tele..

So mambo ya kazi hapa yatoe, nitakuona wa maana ukistick kwenye mada Husika nadhan umenisoma
 
ilo halina shaka kama usemavo.

Imagine nafasi nne kama kawaida ya PSRS ratio tuchukue oral 1:3 so mmeitwa 12 oral, wote mmefaulu mna "" selected for null"" placement imetoka walio pass vizur top 4 wamepangiwa kituo nane mliobaki database, kwa mwaka zikapatikana nafasi 3 from data base, inamaana 5 mda wao umeisha na inakua ""booooooooom bye bye""

Nimetoa uo mfano juu kuna watu wanabahatika katika dakika za mwisho from data base wanapata kazi, kulingana na nafasi zako za course yako, kuna baadhi ya course nafasi ni chache sana at ukiwa database haisaidii sana.

Kikubwa tupambane kita sawa na hawa ambao hawajasoma tujichanganye nao, omba private sector ukipata nafasi tengeneza mifereji ya ela, wakat tunasubir io placement au database.

Nasema hivi kwa maana hali ni mbaya sana na kukaa database sio kupata kazi, tunatakiwa kuongeza sala na maombi izo post za database tuwemo, wakat tukiwa tunapambana na plan B.

Ifike stage tukubali kwamba hizi ajira za selikali atuwezi kupata wote. Angalia pdf za wanaoitw interview utanielewa ya written idadi ya post na wanaoenda written.
Iyo ratio ya 1:3 naona kwa kada yngu hawajaizingatia kwakwel, oral tumeitwa watu 125 na ni post ya mtu mmoja tu🤦🏾‍♀️
 
Hizi Ajira zote mnazolilia ni njaa tu zinawasumbua.. bongo hii hakuna mfanyakazi anafanyakazi kwa weledi,moyo na uzalendo.. ndo maana ubadhirifu umejaa tele..

So mambo ya kazi hapa yatoe, nitakuona wa maana ukistick kwenye mada Husika nadhan umenisoma

Ni kweli maana wewe ni MWENZETU hukauki hapa kulia na status mara unataka utumiwe screenshots za status za watu sasa unataka uletewe hotuba ya Raisi ambayo wameitrim dk 3 [emoji3]
Kiongozi jishughulishee usipende vitu vyepesi
 
Hahahah jamaa mizinguo sna uyo
 
Iyo ratio ya 1:3 naona kwa kada yngu hawajaizingatia kwakwel, oral tumeitwa watu 125 na ni post ya mtu mmoja tu🤦🏾‍♀️
Watu wengi wamekata tamaa siku hizi.Sijui ni kukosa nauli au kukandwa mara nyingi.Hawahudhurii saili.Unakuta mmeitwa Written 375 mahudhurio 87 hadi 75,Kipi Bora kufanya mmoja wa Oral au kufanya written.Mwishoe wanawafanyisha Oral tu..
 
Hizi Ajira zote mnazolilia ni njaa tu zinawasumbua.. bongo hii hakuna mfanyakazi anafanyakazi kwa weledi,moyo na uzalendo.. ndo maana ubadhirifu umejaa tele..

So mambo ya kazi hapa yatoe, nitakuona wa maana ukistick kwenye mada Husika nadhan umenisoma
Tulia sasa dawa ikuingie ww ambae huna njaa sisi wenye njaa ngoja tuendelee kupamabana
 
Watu wengi wamekata tamaa siku hizi.Sijui ni kukosa nauli au kukandwa mara nyingi.Hawahudhurii saili.Unakuta mmeitwa Written 375 mahudhurio 87 hadi 75,Kipi Bora kufanya mmoja wa Oral au kufanya written.Mwishoe wanawafanyisha Oral tu..
Iyo post tulifanyia na written kabisa, ilkua zile za MDA’s na LGA’s, tulifanya kikanda, pdf ilivyotoka ndo ivyo sasa wameita watu 125, na ni mtu mmoja tu anayehitajika.
 
Written ilikuwepo tena tulifanya kikanda.
Kama written ilikuwepo basi watakuwa wanachukua wengi zaid ya io nafasi 1 au wanaitaji watu wa kada io wengi kwenye database kupunguza kuwaita interview, ni sawa na ma dereva nafikir pia wengi huwa wanawekwa data base na wanapangiwa kazi taratibu taratibu coz wana uhitaji mkubwa sana so huwezi itisha interview zao kila siku.
 
Back
Top Bottom