HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Iyo post tulifanyia na written kabisa, ilkua zile za MDA’s na LGA’s, tulifanya kikanda, pdf ilivyotoka ndo ivyo sasa wameita watu 125, na ni mtu mmoja tu anayehitajika.
Hahahh lakin kwa upande mwingine PSRS wanaweza kuwa sahihi, coz kuna post wakiita watu 100 wanafika 10 kwenye written wengi hawafiki sikuiz sijui kwann, may b target yao wengi hawatafika sababu ya uchache wa nafasi so oral mnaweza jikuta 10+.
 
nauli mkuu. kitaa hapasomeki kabisa
labda wale wanaopigwa push na familia yenye system ndio wana afford sahili zote
 
Hahahh lakin kwa upande mwingine PSRS wanaweza kuwa sahihi, coz kuna post wakiita watu 100 wanafika 10 kwenye written wengi hawafiki sikuiz sijui kwann, may b target yao wengi hawatafika sababu ya uchache wa nafasi so oral mnaweza jikuta 10+.
Sidhani, sababu kuna post ingne inahitaj watu 100 na interview znafatana zmepishana sku moja tu, so am sure watu lazma waende. Ila hii ya watu 100 hakukua na interview ya written, tumeitwa oral moja kwa moja.
 
Halafu we Chalii ndo unashadadia sana haya mambo ya kipuuzi nilishakukataa unajua.. Ila nakuona sana.
Hv jinai Iko wapi hapo kama kitu kipo nje ya uwezo wako si unakausha.. Ila unajikuta inashoboka na kufurahi saaaaaana, sijui nn kinafurahisha

Kiongozi yakunle yameisha basi afu wote tunasubiri placement moja em tushikane mikono [emoji1666]🫂
 
Ooya masta anacha nao hao matomaso watakupasua kichwa tu
Halafu we ni dogo wa juzi kabisa wewe,, ni mafua tu yamekujaa then nakuona sana dogo unajikuta mwamba sana humu Ndani..
Kuwa wachangiaji humu Ndani ndio isionekane tunafanana Umri,,,

Kuwa makini mabweeshe usilete mbwembwe..!!
We undelea kuwa much know..
 
Vijana wa SUA mnajambo lenu.[emoji3][emoji3][emoji3]
1676147930748.jpg
 
Halafu we ni dogo wa juzi kabisa wewe,, ni mafua tu yamekujaa then nakuona sana dogo unajikuta mwamba sana humu Ndani..
Kuwa wachangiaji humu Ndani ndio isionekane tunafanana Umri,,,

Kuwa makini mabweeshe usilete mbwembwe..!!
We undelea kuwa much

Babu shikamoo wajukuu hawajambo
 
Back
Top Bottom