mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,003
- 2,294
Oooh mapema had raha
Huo ndio muda wa Serikali madam, na ndio sababu pia majority kupend kazi hizi.
Pambana na hyo nafasi ya Oral naamini utaingia kwenye pipa la asali.
Oooh mapema had raha
Amen mkuu,ntajitahidi,Mungu anitetee kwakweli.Huo ndio muda wa Serikali madam, na ndio sababu pia majority kupend kazi hizi.
Pambana na hyo nafasi ya Oral naamini utaingia kwenye pipa la asali.
Suala la kuitwa kuhojiwa kulingana na mpangilio wa marks za written naona sio jema kama ni kweli utumishi mnafanya hivyo. Sekretarieti ya Ajira
Kibinadamu lazima uta pay attention kwa aliyepata 95% kumsikiliza na kumpa alama kubwa kuliko atakaye ingia baada ya nusu saa aliyepata alama 50%.
Ki uhalisia hakuna uhusiano wa performance ya mtihani wa written na performance ya oral.
Ushauri, mle ndani anzeni upya hbr za arrangement kulingana na marks ACHENI kabisa kwani bado tuna imani nanyi.
Unaonekana una stress sana,Nani kakwambia hao wa marks ndogo hawasikilizwi(Hawapewi Attention..?)..
Hiyo ni kwa ajili ya kufanya tu mambo yaende haraka coz wanachelewaga mchakato, licha ya hivyo chumba Cha usaili hakiwi kimoja na saiili zinaanza muda mmoja, So kama ww unaumia fulani aliyepata alama ya juu kuanza Usaili basi nawe siku nyingine ujitahidi ili uanze wewe.
Halafu sitaki kunichonganisha na PSRS kilichokufanya uwatag hapa via kuniquote mimi ni nini kama sio Ukorofi na unafiki.? Tena Wala hakuna aliemaanisha hicho unachokifikiria ww but yote kwa yote ungetoa maoni yako huko kwenye uzi wa wao na sio kupitia kwangu. Umeniboa kweli.
Obvious Sijalamba Asali Ila Malalamiko ya ******* kama haya sipendelei, Maisha ni kupambania mwanamume ww[emoji848][emoji848]
Status imerudi tena kuwa selected for nullKumekucha mapambano yaendelee
tokea liniStatus imerudi tena kuwa selected for null
Nimeikuta hivyo leo asubuhitokea lini
Achana na mm ww,, Sasa haumo kwenye interview humu umefuata nn na unaleta Malalamiko ya nini.(pilipili usiyoila yakuwashia nini..?)Unaonekana una stress sana,
Sina muda wa kubishana na wewe maana inaonesha huna staha na busara.
Kikubwa ulichomaanisha ndivyo kilivyo na ushaa kijibia paragraph ya kwanza.
Umeniambia hujalamba asali bado, usihofu hauta ilamba tu, bali utaila kabisa uwe na amani.
Nikwambie tu mimi sipo miongoni mwa hizo interview kwa hiyo punguza jazba kijana. Pole sana nilipo kukwaza.
hongera ndugu.Nimeikuta hivyo leo asubuhi
Ni kweli na zile zilizokuwa not Selected for Null zimekuwa not Selected for Oral Interview....Status imerudi tena kuwa selected for null
Yule jamaa anayeisubiri hajaamka badoKuna pdf moja nzito sana inasubiriwa kwa hamu jiandaeni kisaikolojia
Akiamka anapitiliza kwanza kwenye tovuti
Kikubwa uvumilivu kwanza tukubali ukweli sio kila mtu ata bahatika kupata kazi serikalini tusiache kujipa moyo kwamba one day yes ridhiki kama hipo hipo tu kikubwa kumuomba Mungu afungue mirango popote pale iwe serikalini au sekta binafslHabari za Leo ndugu vijana wenzangu wapambanaji.Tukiwa tunatafuta Ajira,tupende sana kuheshimiana na tuheshimu Mamlaka yetu PSRS...
Sio vyema tukiwa humu tunaanza kuzozana ilhali hatufahamiani na wote tuna stress za maisha.Sisi tuwe kitu kimoja.
Pia tuwe na Lugha nzuri za staha na tunapouliza maswali Kule kwenye mitandao ya PSRS au hata humu basi tuwe na Lugha nzuri pia.Tusiibue chochote kile ambacho hakina Ushahidi wowote.Kikubwa tufahamu Ajira ni mchakato na Kuna kupata na kukosa.Kila kitu kina kuja kwa wakati.Kikubwa tusikate tamaa,kukosa Leo kusitufanye tukakata tamaa.
Mimi mwenyewe hapa nishakosa Ajira nyingi tu,kuanzia Polisi,PCCB,JWTZ,Huko kwenyewe PSRS nishapigwa nyingi tu Written ila Bado sikati tamaa,naimani Wakati wangu Bado.Wakati ukifika Mungu atatenda...
Tuendelee kusubiri Placements au saili tukiwa tunajadili mambo ya msingi na kuombeana kheri siku zote.
Na tuwapongeze
Sekretarieti ya Ajira kwa kuwepo humu na kuweza kujibu hoja Mbalimbali au kupokea ushauri.Tuwatie nguvu na tuonyeshe Sisi ni Wasomi ambao tunatamani kuwa Watumishi wa Umma,wenye Nidhamu na Lugha nzuri Kwa wale tutakaoenda kuwahudumia kama tukipata kazi.
Nanyi wafanyakazi wapya Vijana wenzangu mliopata,mjue Kuna wengi wako nje walitamani kupata lakini Wakati wao Bado, basi ninyi muwe watumishi wema,wenye kuzingatia viapo na weledi siku zote.Watanzania wanategemea huduma Bora kutoka kwenu.
Tusikate tamaa,Kesho zetu ni nzuri na Mungu anatuwazia mema.Nawapenda sana nyote Ndugu Zangu.Ngoja nami niendelee kusubiri Placements.
#Mapambano yaendelee
Uko sahihi kabisa.Mfano wewe Hapo si tayari umeshajiari na unapata pesa kila siku.Kikubwa uvumilivu kwanza tukubali ukweli sio kila mtu ata bahatika kupata kazi serikalini tusiache kujipa moyo kwamba one day yes ridhiki kama hipo hipo tu kikubwa kumuomba Mungu afungue mirango popote pale iwe serikalini au sekta binafsl
Unavaa vazi la heshima tu.Kikubwa isibane sana mpaka ianze kuonyesha ramani zote...Naomba kuuliza,mdada kwenye interview ya utumish anaruhusiwa kuvaa suruali ya kitambaa?
yesamrich noana Hapo Kuna kitu utakionaSidhani kama hili ni jibu sahihi kwa swali husika.
Nafikiri wasailiwa wazingatie muongozo wa mavazi katika utumishi wa umma.