mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,238
- 6,523
Nilifanya oral tu. Ni akaunti yangu.H
Hiyo ni yako au..? Na je, ulifanya Oral pekee(yaani ulianzia oral tu?)
Nilifanya oral tu. Ni akaunti yangu.H
Hiyo ni yako au..? Na je, ulifanya Oral pekee(yaani ulianzia oral tu?)
Bado hazijatoka
Ahahhahahahahha, usiweke bando tuWazee nipeni mbinu za kuacha kufatilia huu uzi na Web ya psrs naona nshakua addicted
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kiukwel wanatuchanganya ss hv nimetoka kuangalia naambiwa SELECTED For PRACTICAL INTERVIEW Mwanzo ilikuwa Selected for Oral InterviewKwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo apo tayar nimekandwa
Nimejaribu hilo jambo nimeshindwaWazee nipeni mbinu za kuacha kufatilia huu uzi na Web ya psrs naona nshakua addicted
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
System inamisbehave mzee kua na amani kikubwa pdfKiukwel wanatuchanganya ss hv nimetoka kuangalia naambiwa SELECTED For PRACTICAL INTERVIEW Mwanzo ilikuwa Selected for Oral Interview
Ilo ndy la Msing nimeshanga sn Interview Ambayo haina Practical Leo nimekuwa Selected for Practical 🤣🤣🤣🤣 Mwenyew Jukumu la Upande wa Status huko PSRS achunguzweSystem inamisbehave mzee kua na amani kikubwa pdf
watawaita mkafanye practical.. mmekua selected ili mkafanye iyo proctical iliyobakiIlo ndy la Msing nimeshanga sn Interview Ambayo haina Practical Leo nimekuwa Selected for Practical [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwenyew Jukumu la Upande wa Status huko PSRS achunguzwe
😂😂😂😂😂😂watawaita mkafanye practical.. mmekua selected ili mkafanye iyo proctical iliyobaki
Haaaha TRA unaanzaje kuacha kuangalia, week 3 tumekubaliana results out.Wazee nipeni mbinu za kuacha kufatilia huu uzi na Web ya psrs naona nshakua addicted
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
watawaita mkafanye practical.. mmekua selected ili mkafanye iyo proctical iliyobaki
Unasoma Intro ya Placement unakuta ni Mwisho November 7,na wewe upo November 26 au December huko😂😂😂Haaaha TRA unaanzaje kuacha kuangalia, week 3 tumekubaliana results out.
Ushauri anza kwa kuingia 3 usiku kila siku itakusaidia, au tenga mda maalumu wa kuingia kila siku ikiwa usiku itakua vizur zaid ukifanikiwa hilo basi uta remove unnecessary pressure za kuangalia mda wote, pia hutapitwa na any new info kwa wakat.
Pia ata mm nakumbuka after oral niliambiwa result zitatoka baada ya 2 weeks but 2 weeks ikawa mwezi na mwezi ukawa miezi 2.
Ushauri kwa waliofanya izi oral, usiruhusu ayaa mazoea kila second upo web na kwenye app kufatilia status, am telling u its totally psychological toture, ukijizoesha tu mwanzoni unakua addicted itafika wakt utaona ni mateso unawai kwenda kuchungulia pdf na kila wakat unakuta haikuusu, imagine unaweza jikuta unarudia ile intro ya placement kila siku adi inakaa kichwani yote, nimateso sana.
Mimi nina oral ya 2020, ambayo placement zilishatoka..hii ndo kwa sasa kwenye status hakuna kituBado hazijatoka
basi ambae yupo kitengo cha status PSRS analeta mkanganyiko kwenye jamii.Kaka hiyo ni Kazi ya TMO hainaga Practical Interview
OkHuo ni mtazamo wangu tu boss