Hapana napinga hili hadi nakufa, ni kumtegemea tu Mungu pia Mkuu amini nakwambia chochote kinachotokea kwenye maisha yako kina sababu kutokea hili nitakizungumza na kuwa shahidi sababu limenitokea. Mkuu nimejitolea kazi miaka 4 yani nikajikuta nina experience ya kutosha kwenye majukumu yangu na siku nisipoenda job simu ni nyingi. Lakini cha kusikitisha kila nikifanya hapo interview nakosa wananinyima wanampa mtu mwingine kabisa alfu huyo mtu ndo mimi nimfundishe majukumu,wamenifanyia hivyo zaidi ya mara 2 wananinyima bila kosa na kazi napiga fresh. Ikafika hatua naanza kumlaumu Mungu why nafanyiwa hivi na umri unazidi kusonga na wengine wkanishauli lbda niende kwa mganga labda washaninoga wahuni.lkn mm nikaamini kuna siku tu ipo Acha nizidi kupambana.mkuu huwezi amini nimepata job wizara ya .......... na ni interview ya mara ya kwanzaq na wale walioninyima job wanawapa wengine wanazidi kushangaa tu. Kwahyo Mkuu kila kitu ni Mungu wewe muachia njia zako naimani siku itafika utapata.