HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nataka kuomba tena kazi utumishi nitakiwa nihudumu miaka mingapi ili niwe na vigezo vya kuomba kazi

Pia hawa waajiri sio wasumbufu kwenye kutoa kibali cha kwenye kupambania kaz nyingne utumishi

Wenye ujuzi tafadhari
 
Tatizo la ajira limekua kubwa sana kwa kizazi hiki, nimefanya research ndogo nimegundua wachangiaji wakubwa kwenye huu uzi na ID's nyingi za 2015's...
Hapo hakuna la maana ulilofanya. Kila mtu anajua serikali ilipunguza sana kuajiri kuanzia 2015 hadi mama duli alivyopindua meza baada ya kuondoka kwa yohana pale magogoni.
 
Nataka kuomba tena kazi utumishi nitakiwa nihudumu miaka mingapi ili niwe na vigezo vya kuomba kazi

Pia hawa waajiri sio wasumbufu kwenye kutoa kibali cha kwenye kupambania kaz nyingne utumishi

Wenye ujuzi tafadhari
Unawakumbuka wale Cheap Labour ambao walikuwa wanapewa Low Wages hadi kupelekea Poor Living Conditions. Ndio Wewe..!! Na unaelekea kuwa migrant labourer.😂🙌
 
Oy nan ashawai kufanya pepa za NIDA kada ya registration officer msaada maarifa tutoke wote tutimbe oral
Nachoona kwa Pepa za siku hizi hawa base kweny hiyo hata Pepa zilizopita hazitakusaidia. labda kweny Oral ila written kwa ushauri wangu Bora ukomae kusoma vitu kama short cut key za computer, simple computer application, Different types of diseases, climate change, simple maths like ratio, current issues n.k
#Naruhusu kurekebishwa by Msaka Asali.
 
Upo correct kabisa mkuu hizo mambo achaa
 
Back
Top Bottom