Dah ety uchome kiwanda, hapa nmekuelewa sana bro, inafika wakat unatamani uchukue Maamuzi magumu.
Mm h ishu yangu ilifika wakati nawaza kujinyonga, h n seriously wakuu niliwaza nijinyonge. Mana sikuwa naona nuru kwenye maisha yangu tena
mbaya zaidi yakaanza kuibuka maneno mm nna dharau. Yn wakati nafanya kazi hayo mambo ya Mm kuwa na dharau hayakuwepo Ila wakat wa interview ndo yanaibuka š
Imagine interview zote mbili sikufanya kisa maneno ya watu ya uongo
Mbaya zaidi sijuani na maboss wakubwa hvy Hata boss wangu anakuwa hana kauli ya kunitetea hvy nae inabidi awe mpole kulinda kazi yake.