Ukipita utaona wakati huo nilikua nampiga mama abdul spana za kufa mtu.Hivi uko serious kweli?
Usiniambie hivyo…
Ukipita utaona wakati huo nilikua nampiga mama abdul spana za kufa mtu.Hivi uko serious kweli?
Usiniambie hivyo…
Na yule ambaye hajaandika jina langu kwenye list ya placement nae akamatwe 😂
Ah kmmmkee walahi 🙌View attachment 3587105
Aisee sijui tufanye nini sasa🤦🏽♀️
Eh kama h n kweli bc kwisha Mie 😂Miaka yako kule Utumishi ina determine wewe kupewa nafasi au kunyimwa nafasi.
Una miaka mingapi?
Hiyo ni factEh kama h n kweli bc kwisha Mie 😂
Lazima kidonda kiendelee ku exist kukumbusha jinsi gani ulivyoipata kwa tabu hivyo uiheshimu😂Habari njema ni kwamba hata ukipata kazi hayo madude utaendelea kuyaona, sijui wanaacha ili tukumbuke tulikotoka au vip.
Duhh hiyo ni kazi ngumu mkuuUkipita utaona wakati huo nilikua nampiga mama abdul spana za kufa mtu.
Ma IT wanoko sana. Walitakiwa waweke clean sheet.Lazima kidonda kiendelee ku exist kukumbusha jinsi gani ulivyoipata kwa tabu hivyo uiheshimu😂
Hawa wazee na kamati yao ya kichawi!🙌🏾Na yule ambaye hajaandika jina langu kwenye list ya placement nae akamatwe 😂
Unyama sana mkuuTulikuwa watatu na position inahitaji mtu mmoja ndo nimepata hiyo.lkn nilikuwa na hofu sana sababu wakati najielezea about yourself mwenyekiti alinikatisha wakati natema madini kanirusha swali lingine.lkn nilipokuja hapa kuomba ushauli aisee nilikatiswa tamaa na ukizingatia ni interview ya kwanza, na Mungu siyo doto magari hatimae nimepata hiyohiyo.
Hapana napinga hili hadi nakufa, ni kumtegemea tu Mungu pia Mkuu amini nakwambia chochote kinachotokea kwenye maisha yako kina sababu kutokea hili nitakizungumza na kuwa shahidi sababu limenitokea. Mkuu nimejitolea kazi miaka 4 yani nikajikuta nina experience ya kutosha kwenye majukumu yangu na siku nisipoenda job simu ni nyingi. Lakini cha kusikitisha kila nikifanya hapo interview nakosa wananinyima wanampa mtu mwingine kabisa alfu huyo mtu ndo mimi nimfundishe majukumu,wamenifanyia hivyo zaidi ya mara 2 wananinyima bila kosa na kazi napiga fresh. Ikafika hatua naanza kumlaumu Mungu why nafanyiwa hivi na umri unazidi kusonga na wengine wkanishauli lbda niende kwa mganga labda washaninoga wahuni.lkn mm nikaamini kuna siku tu ipo Acha nizidi kupambana.mkuu huwezi amini nimepata job wizara ya .......... na ni interview ya mara ya kwanzaq na wale walioninyima job wanawapa wengine wanazidi kushangaa tu. Kwahyo Mkuu kila kitu ni Mungu wewe muachia njia zako naimani siku itafika utapata.hawa jamaa kufaulu mitihani yao ni mpaka uoge dawa kabla ya kuingia kwenye pepa
Wadhalilishaji hatari🙌🏾Ma IT wanoko sana. Walitakiwa waweke clean shit.
Hii naona walitaka mtu mmoja hvy wakaamua wachinje watu tuu mambo yasiwe mengi oral 😂View attachment 3587105
Aisee sijui tufanye nini sasa🤦🏽♀️
Wanakusanya tanzania nzima vijiji na vijiji just to look for one person! Kwanini wasiwe wanarejerea data base jamani🥺Hii naona walitaka mtu mmoja hvy wakaamua wachinje watu tuu mambo yasiwe mengi oral 😂
Bro.Hapana napinga hili hadi nakufa, ni kumtegemea tu Mungu pia Mkuu amini nakwambia chochote kinachotokea kwenye maisha yako kina sababu kutokea hili nitakizungumza na kuwa shahidi sababu limenitokea. Mkuu nimejitolea kazi miaka 4 yani nikajikuta nina experience ya kutosha kwenye majukumu yangu na siku nisipoenda job simu ni nyingi. Lakini cha kusikitisha kila nikifanya hapo interview nakosa wananinyima wanampa mtu mwingine kabisa alfu huyo mtu ndo mimi nimfundishe majukumu,wamenifanyia hivyo zaidi ya mara 2 wananinyima bila kosa na kazi napiga fresh. Ikafika hatua naanza kumlaumu Mungu why nafanyiwa hivi na umri unazidi kusonga na wengine wkanishauli lbda niende kwa mganga labda washaninoga wahuni.lkn mm nikaamini kuna siku tu ipo Acha nizidi kupambana.mkuu huwezi amini nimepata job wizara ya .......... na ni interview ya mara ya kwanzaq na wale walioninyima job wanawapa wengine wanazidi kushangaa tu. Kwahyo Mkuu kila kitu ni Mungu wewe muachia njia zako naimani siku itafika utapata.
Pole sana rafkiangu 😔Bro.
Hichi ulichoandika, kimenitokea Kwa 100%
Kuna mahali nilikuwepo kama kujitolea, ikafika wakati wa interview wakaniahidi mengi kuwa nitapata hy kazi lkn hata hy interview sikufanya na walioajiriwa walikuwa hawajui chcht khs kazi mana n wale wa najuana na mtu fulani na wakaletwa kwangu niwafundishe kazi mpaka wakajua Kazi mm bado nipo hapo tuu, hii ilikuwa 2024.
Mwaka huu Aprili 2026 nayo imerudi vile vile kama ya 2024, kulikuwa na usaili ila sikuitwa na sasa kuna watu wameajiriwa wapya tena ambao nao hawajui chcht khs kazi hvy wanafundishwa mana wanajuana na watu wakubwa.
Aisee ikabidi Niwe mpole kuendelea kujitolea nikamwambia boss wangu naomba nirudi nyumbani mkoani ili nipumzike kdg, ila bado nipo hapa hapa mjini
Aisee h kitu inaumiza sana na nililia mno kama mtoto mdogo, unakatwa kwa sababu huna watu wakubwa wa kukushika mkono na sio uwezo wako.
Hapa nna received za TBC nasubir kuona Mungu atanipa nini
Wanakusanya tanzania nzima vijiji na vijiji just to look for one person! Kwanini wasiwe wanarejerea data base jamani🥺
Mwanangu imagine unamfundisha kazi muajiriwa Mbaya zaidi hajui Wala hajawahi kuifanya hy kazi, na ww unajitolea hapo zaidi ya miaka mitatu, ah aisee inaumiza sana mwananguPole sana rafkiangu 😔
Mkuu amini nakwambia hapo unaandaliwa kuwa mtu fulani na Mungu.nafasi yako ni kubwa .hata ukienda huko kwenye buyu la asali hutaanza kulalamika unapona lbda hupewi safari.kwahyo mkuu hapo unaandaliwa.ila mwaka huu hauishi unapata check numberBro.
Hichi ulichoandika, kimenitokea Kwa 100%
Kuna mahali nilikuwepo kama kujitolea, ikafika wakati wa interview wakaniahidi mengi kuwa nitapata hy kazi lkn hata hy interview sikufanya na walioajiriwa walikuwa hawajui chcht khs kazi mana n wale wa najuana na mtu fulani na wakaletwa kwangu niwafundishe kazi mpaka wakajua Kazi mm bado nipo hapo tuu, hii ilikuwa 2024.
Mwaka huu Aprili 2026 nayo imerudi vile vile kama ya 2024, kulikuwa na usaili ila sikuitwa na sasa kuna watu wameajiriwa wapya tena ambao nao hawajui chcht khs kazi hvy wanafundishwa mana wanajuana na watu wakubwa.
Aisee ikabidi Niwe mpole kuendelea kujitolea nikamwambia boss wangu naomba nirudi nyumbani mkoani ili nipumzike kdg, ila bado nipo hapa hapa mjini
Aisee h kitu inaumiza sana na nililia mno kama mtoto mdogo, unakatwa kwa sababu huna watu wakubwa wa kukushika mkono na sio uwezo wako.
Hapa nna received za TBC nasubir kuona Mungu atanipa nini
Ni kweli ila ifike mahala wawe nazo wanachosha watu! Mtu unaacha kwenda kazini unatumia magharama kwenda kufanya usaiili ambao hauwezekani! Kazi ya tutorial pia walichukua watatu tu wakati wakimaliza wengine wana wadump!Nahisi kuna kazi hazina database, mm yangu waliwahi kutaka watu wengine hata kabla ya kutoa placement ya interview ya miezi mitatu nyuma.