El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,074
- 6,479
ila utumishi ni shida aisee yaani kunawatu wamefika hadi practical wamekandwa wote 🤣 🤣
ila utumishi ni shida aisee yaani kunawatu wamefika hadi practical wamekandwa wote 🤣 🤣
Mkuu na mimi naisubiri hiyo Oral sema ukienda Ajira Portal kwenye account haifunguki kulogin in.Oy nan ashawai kufanya pepa za NIDA kada ya registration officer msaada maarifa tutoke wote tutimbe oral
Heee wewe tayal oral mkuu. Maswali ya written wametoaje mm nafanya jmosi mkuuMkuu na mimi naisubiri hiyo Oral sema ukienda Ajira Portal kwenye account haifunguki kulogin in.
Sijajua venue hadi saivi na interview ni Jumamosi, I'm confused ni simu yangu au shida nini.
Yaani juz umepata io kazi hata mwaka hujamaliza unataka kuhama mdogo wangu subiri kwanza kula hela ya madiniEt wakuu mtu anaweza kuhama taasisi mfano TRA kwenda TPA lkn career zinafanana?
Yaani juz umepata io kazi hata mwaka hujamaliza unataka kuhama mdogo wangu subiri kwanza kula hela ya madiniEt wakuu mtu anaweza kuhama taasisi mfano TRA kwenda TPA lkn career zinafanana?
Ugali pia mtamu kk tuendelee kupambanamkuu kamba ilikatika nikaona nisiforce
I meant written interview. Kwako umeshaona venue? Mimi bado, Portal haifunguki.Heee wewe tayal oral mkuu. Maswali ya written wametoaje mm nafanya jmosi mkuu
hii ni sahihi kabsa, chini ya 50 wanakula kichwa.View attachment 3591396
Hawa jamaa waliulizwa nini
mie sa hivi nikiona interview ina practical nakula kona.hii ni sahihi kabsa, chini ya 50 wanakula kichwa.
sasa vp kama kazi yako n lazima practical?mie sa hivi nikiona interview ina practical nakula kona.
nitakua naangalia ratiba nikiona kuna practical siendi hata kwenye written.sasa vp kama kazi yako n lazima practical?
hujajibu swali, vp kama kazi yako practical n lazima?nitakua naangalia ratiba nikiona kuna practical siendi hata kwenye written.
siendi kufanya usahilihujajibu swali, vp kama kazi yako practical n lazima?
unaivimbia utumishi au sio 😂siendi kufanya usahili
tbc si waliita watu kwenye usahili mliishafanya?unaivimbia utumishi au sio 😂
written n 30 Maytbc si waliita watu kwenye usahili mliishafanya?
Tulia dogo kila kitu kiko sawa utaona watakuwekeaI meant written interview. Kwako umeshaona venue? Mimi bado, Portal haifunguki.
Nitaona vipi na siwezi kuingia kwenye Account?Tulia dogo kila kitu kiko sawa utaona watakuwekea