HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu,kwema?
Ebana nashukuru leo tena nilibahatika kupiga paper ya utumishi,kada ya Quality assurance officer ii mwajiri ni Warehouse Receipts & Regulatory board .nashukuru Mungu Majibu yametoka jioni hii nimetoboa,so najiandaa kwa oral tarehe 26 mwezi huu.
Kama kuna mwenye kujua chochote kwenye hiyo kama please share materials za oral hapa.
 
Ukiotea ,huko utapiga pesa mpaka mama mkwe wako akuonee wivu.all the best kijana,naona una bidii.
 
Wakuu,kwema?
Ebana nashukuru leo tena nilibahatika kupiga paper ya utumishi,kada ya Quality assurance officer ii mwajiri ni Warehouse Receipts & Regulatory board .nashukuru Mungu Majibu yametoka jioni hii nimetoboa,so najiandaa kwa oral tarehe 26 mwezi huu.
Kama kuna mwenye kujua chochote kwenye hiyo kama please share materials za oral hapa.
Hongera sana mkuu!
 
Hongera
Haya ni Maswali ya oral Quality Assurance Officer II mwaka jana, mwajiri alikuwa NACTVET
1. Tell us about yourself
2. General understanding of NACTVET
3. Role of quality Assurance
4. Challenges facing quality Assurance on performance of duties
5. Strategiea of Quality Assurance
 
B2E8B085-88F1-4755-A018-23439F2FDE75.jpeg

Aisee sijui tufanye nini sasa🤦🏽‍♀️
 
Tulikuwa watatu na position inahitaji mtu mmoja ndo nimepata hiyo.lkn nilikuwa na hofu sana sababu wakati najielezea about yourself mwenyekiti alinikatisha wakati natema madini kanirusha swali lingine.lkn nilipokuja hapa kuomba ushauli aisee nilikatiswa tamaa na ukizingatia ni interview ya kwanza, na Mungu siyo doto magari hatimae nimepata hiyohiyo.
 
Hyo kukatisha wanakatisha watu woote kuokoa muda.
 
Back
Top Bottom