HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
95F7B254-7B5F-4316-B0F2-D8E7090D6659.jpeg
 
utumishi nimewanyooshea mikono juu yaan nimefukuzia pdf mpaka mikono imeota sugu
Wapendwa tuwe na imani, kila mmoja kwa wakati wa Bwana atakutana na huu ujumbe siku moja.

"Hongera
Karibuni katika Utumishi wa Umma, Watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwenu kwa utumishi wenu, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, ari na nguvu mpya na kutanguliza mbele uzalendo."
 
Sio rahisi unakomaa unakutana na mstari mwekundu juu yako!
 
Back
Top Bottom