Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,501
Reaction score
4,282
Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not.

Hawa watu ukiwatizama wana changamoto nyingi unaweza kusema wanatengeneza mazingira ya kupachika watu wao.mifano ni hii.

1. Mchakato wao kuanzia kutangaza ajira mpaka kuita written interview umejawa na usiri mkubwa sana,yani wenyewe wanatangaza tu kwenye website yao na wakt taasisi zingine za umma mfano tra,utumishi,BOT na hata TAA wanatangaza kwenye media mbalimbali.

2. Hawatoi majina ya waliofaulu kwenda oral badala yake wenyewe wanapiga tu simu, imagine mtu kachoma nauli yake kutoka kigoma kuja Dar kufanya written halafu mpaka leo hajui kama alifaulu lie written au hakufaulu,wao wamewapigia tu watu waliofaulu kuwaalika kwenye oral interview lkn matokeo ya written mpaka leo hawajawahi kuyatoa.

3. Ucheleweshaji wa majibu ndo usipime,utumishi huwa wanatumia muda wa siku 2-3 kutoa majibu ya waliofaulu kwenda oral na ikumbukwe utumishi huwa wanaita watu maelfu kwa maelfu lkn wanatumia muda mchache kuita watu ila hawa jamaa wenyewe mchakato wa recruitment ulianza mwaka jana mwezi December ila mpaka leo hakuna kinachoeleweka huko.

Tangu April 16 watu wamefanya oral ila mpaka leo hakuna majibu wkt kuna watu wamepiga interview ya tfs juzi tu hapa majibu yao yametoka tayari ila hawa jamaa wa gaming board walikua na candidates wachache tu mpaka leo hakuna kitu kinachoendelea, ukiwapigia simu kuwauliza ndo kwanza wanasema mchakato bado unaendelea.

WITO
Hawa jamaa nimewafuatilia mchakato wao wa kurecruit tangu 2019 nimegundua wana magumashi mengi,hivyo naomba mchakato wao uwe unapitia utumishi kuanzia sasa.
 
Hao jamaa wasenge sana,utadhani sio taasisi ya umma yani.
 
Tulishasema Ajira zisimamiwe na utumishi wakishirikiana na taasisi husika tu ,haya ya kila taasisi urasimu ni mkubwa
 
Vipi kama wameshawaita waliofaulu kwa kuwapigia simu?

Fanya kuwauliza wenzio. Mambo ya serikali ndivyo yalivyo.
 
Tofauti na michakato ya ajira inayofanywa na sekretarieti ya ajira wengine huwa na magumashi nyingi. Nakuombea ufanikishe jambo lako mkuu.
 
Hao jamaa makuma sana.
Mwaka 2015 walinifanyia uhuni kama huu.nimesibiri weeeee kumbe yameajiri watu wao kimya kimya
 
Hiyo taasisi ni ya kipumbavu sana,watakupotezea muda wako kukufanyia interview zote afu huwezi jua ni lini wenzio wameanza kazi..ujinga mtupu
 
Hiyo taasisi ni ya kipumbavu sana,watakupotezea muda wako kukufanyia interview zote afu huwezi jua ni lini wenzio wameanza kazi..ujinga mtupu
Sasa kama yapata mwezi tangu wafanye usaili wa mahojiano, hawako serious
 
Watakuwa wanawafanyia vetting waliofaulu usaili. Hiyo taasisi nimepata fununu wanalipana vizuri sana
 
Yani njaa zako ndo unataka watu wafanye kazi pasipokufuata utaratibu?
Acha kutetea ujinga mkuu.
Hao jamaa kikweli wanafanya kazi kama vile sio taasisi ya umma.hakuna transparency ktk michakato yao.BOT walitumia week 2 tu wakatoa majibu ya walioitwa kazini,sasa BOT na hao gaming board wapi ambao ni nyeti?
 
Acha kutetea ujinga mkuu.
Hao jamaa kikweli wanafanya kazi kama vile sio taasisi ya umma.hakuna transparency ktk michakato yao.BOT walitumia week 2 tu wakatoa majibu ya walioitwa kazini,sasa BOT na hao gaming board wapi ambao ni nyeti?
BOT vetting yao wanaanzia kwenye shortlist ya watahiniwa. Kila taasisi na utaratibu wake. Kuwa mvumilivu mkuu. Nakutakia kila la-kheri.
 
Back
Top Bottom