HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bila kuchoka nimepiga oral MDA since May 18, 2025 nasubir pdf adi na mim nijione aisee alf nina oral tena ya mahakama

Aisee waungwana nipeni guide nzuri ya kujibu swal la tell us about your self maan mwanzo nilijib vzr ila nataka mahakama nijibu vzri Zaid

Bila kuchoka nimepiga oral MDA since May 18, 2025 nasubir pdf adi na mim nijione aisee alf nina oral tena ya mahakama

Aisee waungwana nipeni guide nzuri ya kujibu swal la tell us about your self maan mwanzo nilijib vzr ila nataka mahakama nijibu vzri zaidi
Sijajuaa wanaangalia nini ila mimi binafsi nilianza na name+education background+skills regards job
 
Bila kuchoka nimepiga oral MDA since May 18, 2025 nasubir pdf adi na mim nijione aisee alf nina oral tena ya mahakama

Aisee waungwana nipeni guide nzuri ya kujibu swal la tell us about your self maan mwanzo nilijib vzr ila nataka mahakama nijibu vzri zaidi
 
Attachments

  • Screenshot_20250806_213043_YouTube.jpg
    Screenshot_20250806_213043_YouTube.jpg
    322.8 KB · Views: 27
Bila kuchoka nimepiga oral MDA since May 18, 2025 nasubir pdf adi na mim nijione aisee alf nina oral tena ya mahakama

Aisee waungwana nipeni guide nzuri ya kujibu swal la tell us about your self maan mwanzo nilijib vzr ila nataka mahakama nijibu vzri zaidi
Oral kada ipi mkuuu
 
Ipo siku nitatlboa nitapata 99 ya mtihani oral na written haitachukua hata mwezi na kuwekewe placement letter

Hongera wote mnaozidi kuingia serilikalini mkawe watumishi wema mnaona wananchi watoto wasio kuwa na yeyote wanavyppata tabu kulamba asali hili mkasimamie vyema kadri Mungu atakavyowapa kibali cha kuwatumikia wananchi wa hali yeyote
 
Oral ni "final touch" hivyo hakikisha unapambana kana kwamba hiyo ndio oral yako ya mwisho kwenye maisha yako. Pia ikiwa nafasi unayopambania zipo kuanzia 100+ jitahidi upambanie maksi za juu ili hata kama wataita kwa kufuata ufaulu basi nawe utoke kwenye batch za mwanzoni.

Ni hayo tu wapambanaji wenzangu. BILA KUCHOKA!
 
Back
Top Bottom