HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mie nataka kujua hapo...

Hivi mfano unaambiwa utapigwa simu....Na bahati Mbaya muda wanakucheki uko sehem ambayo haina network au hujapokea kutokana na majukumu mbalimbali.

Je kuna utaratibu wa kuacha meseji au watakurudia tena?
Kwa uzoefu wangu jamaa wana kawaida ya kuendelea kukutafuta, ila kiutambuzi na wewe mtafutwa inafaa uwe kwenye mazingira ambayo upatikanaji wako hauwezi kuwa wa kubabaisha.
 
Wakati unajipanga upya lolote linaweza kutokea kwenye database, japo huo usaili ulioufanya usiwe wa chuo kama wa chuo apo umeliwa kichwa mazima kama taasisi wakati unajipanga upya endelea kufatilia placement
Aaah okay kumbe usaili ni wa taasisi mkuu sio chuo....ngoja tuendelee kusikilizia milio aiseee 🤔 🤔
 
Mara chache mno maana hizo kazi ni za msimu
Ukikosa nafasi ya kazi ya assistant lecturer au lecturer etc imeisha hiyo,hakunaga database,Kwa sababu Ili upate kazi ni lazima waone umefaulu Kwa presentation
 
Ukikosa nafasi ya kazi ya assistant lecturer au lecturer etc imeisha hiyo,hakunaga database,Kwa sababu Ili upate kazi ni lazima waone umefaulu Kwa presentation
Lakin kuna mtu na mjua alipata assistant lect kutok database. Maan alipga usaili ad mwisho waliingia 5 ad mwisho nafas 2 yeye akakosa akaingia database siku nafas zilivyopatikan akapangiwa ten mwaka jana mwez wa 10. Maybe iyo system imeanz mwaka huu.
 
University, institute,or college?
 
Back
Top Bottom