HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Habari Wakuu?

Msaada tutani,

Ikiwa kama mtu aliweka anuani ya Mtwara wakati wa kutuma maombi lakini wito wa usaili amepokea akiwa Bukoba na uwezekano wa kurudi Mtwara kwa haraka haupo.

Akijaribu kubadili anuani ya zamni na kuweka ya sasa mfumo unakataa, je ni hatua zipi za zaida hufanyika ili kuweza kupata nafasi ya kuhudhuria usaili husika ?

Msaada kwa mwenye kujua taratibu husika.!!!
Badili anuani ndani ya siku 7 baada ya tangazo la usaili kutoka
 
  • Thanks
Reactions: apk
Habari Wakuu?

Msaada tutani,

Ikiwa kama mtu aliweka anuani ya Mtwara wakati wa kutuma maombi lakini wito wa usaili amepokea akiwa Bukoba na uwezekano wa kurudi Mtwara kwa haraka haupo.

Akijaribu kubadili anuani ya zamni na kuweka ya sasa mfumo unakataa, je ni hatua zipi za zaida hufanyika ili kuweza kupata nafasi ya kuhudhuria usaili husika ?

Msaada kwa mwenye kujua taratibu husika.!!!
apo badilisha weka eneo uliopo sasa kwa sababu hata vituo vya usail bado havijapangwa na pia vituo vinapangwa siku 2 au 1 kabla ya siku ya usaili
 
Tumejaribu mara kadhaa kubadilisha lakini mfumo unakataa.

See the attachment 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20260320_183324_Chrome.jpg
    Screenshot_20260320_183324_Chrome.jpg
    46.8 KB · Views: 27
Wakuu kwema....

Naomba niwatie moyo wote ambao bado mnajitafuta .....msikate tamaa wakuu wangu naamini mnauwezo, ujuzi na nyenzo zote za kuweza kupita interview za utumishi

Jiamini, na omba sana kwa Mungu afanye njia

Pia job description yako iweke pale chatgpt na Capilot AI zikupe multiple choice ujifue

Nimeona kwemye interview nyingi za multiple choice zinacheza na challenges/ problems na solutions zake so wanakupa scenerio wewe useme utatatua vipi

Mungu awasimamie tukumbuke kila mwanadamu hutembelewa na bahati kuu japo mara moja maisha yake ...

Nakumbuka siku ya paper mtandao ulisumbua zikajisubmit ndani ya nusu saa wengine walifanya saa Zima... Basi msimamizii akapiga simu makao tukawekewa hizo nusu saa na ajabu marks nlizopata naona kabisa zlitoka kwenye Yale maswali 3 yaliyobakia ambayo skuyajaza mwanzo.
.... nilipata 92% wakakatia 91%

Nawaombea wakuu mkainuke na kulamba asali
 
Naamini wote wakikomaa bila kuchoka wote tutaibuka washindi
Na mimi sasa hivi nipo na check number kapu la Taifa linanitemea tarehe zake zikiwa tayri zile stress za kuitafuta check zimepotea kwa sasa,nahesabu tarehe tu
Mungu ni mwema Tupambane wazee bila kuchoka
 
Hongera sana mkuu. Dah! yale mapambano ya mwaka jana yalikuwa sio mchezo.
 
Naamini wote wakikomaa bila kuchoka wote tutaibuka washindi
Na mimi sasa hivi nipo na check number kapu la Taifa linanitemea tarehe zake zikiwa tayri zile stress za kuitafuta check zimepotea kwa sasa,nahesabu tarehe tu
Mungu ni mwema Tupambane wazee bila kuchoka
Hongera sana ndugu yangu......Mungu akakusimamie kwenye majukumu yako, ulichosema ni kweli kabisa wasikate tamaa tu....

Ulisema kati ya interview 5 moja nitapita nikaja pita ya mwisho kabisa
 
Wakuu hivi niulize swali .umeanza interview ukaanza kushukuru then ukaanza kujielezea lile swali about yourself ukafata majina, education, experience,skills lkn wakati unataa kuingia kuelezea achievement mwenyekiti akakusitopisha akakuuliza now wafanya kazi gani? Ukamjibu akasema oky then akaruhusu uulizwe swali lingine yani lile limepita hivyo.je hii ina maana gani?
Acha uoga,
Umejibu Sahihi Hakuna haja ya mbwembwe zingine.
 
Jitu la status apa ....
Wakuu msikate Tamaa kila kitu ni possible.....
Mkaze kwenye izi interview tuwakaribishe kwenye asali ya taifa....
Walofanya leo usail wa history wanasema kulikuwa na maswali ya hesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Km ni kwel aisee utumishi SHIKAMOO,yan history unaweka na hesabu km geog kwel jmn?
 
Niulize swali mfano taasisi flan wametangaza job na position nyingine wameshafanya interview ya oral mwezi wa 3 lkn bado position moja haijafanya imepangiwa mwezi 6.je hizi position nyingine zishafanya inabidi wasubrie hadi huyu amalize au pdf linaweza kutoka tu hata kama huyu bado hajafanya?
 
Wadau nikilog in kwenye account yangu ya ajira portal wananiambia password sio sahihi nikiandika forgot password wananitumia link kwenye email ila nilivyobadili mara ya kwanza ilikubali lakini nikilog in tena inasema password au email si sahihi nikienda forgot hawatumi link ila wananiambia account haipo nimejaribu kuwatafuta ict wa utumishi hawajibu email yangu nifanyeje
 
Tafuta no. zao kwenye websites wapigie mida ya kazi
 
Back
Top Bottom