Haya mambo hayahitaji mbwembwe.mkuu za uzima... Mimi bado hatujapata placement kote tunakosubiria..... Nipo nimemuweka fundi wa nguo hold zikitoka tu nitinge na Kaunda suti zangu hahahahaha
Haya mambo hayahitaji mbwembwe.mkuu za uzima... Mimi bado hatujapata placement kote tunakosubiria..... Nipo nimemuweka fundi wa nguo hold zikitoka tu nitinge na Kaunda suti zangu hahahahaha
Umeshindwa elewa huo no utani mkuu... Sawa.Haya mambo hayahitaji mbwembwe.
binafsi pumzi ishakata nahemea mipira..Bila KUCHOKA wapambanaji wenzangu! Tupambane inavyowezekana tufike oral tu then kaa pembeni mwachie Mwenyezi amalize palipobakia
Umekata moto mapema sana mkuubinafsi pumzi ishakata nahemea mipira..
aisee hawa jamaa si mchezo inabidi uwe na moyo wa chuma 🤣 🤣Umekata moto mapema sana mkuu
😂🙌🏾 Tutawafiris ifike hal kam ile ya kenya igome kutoa mikopo tenabodi ya mikopo hebu fanyeni mpango na sie majobless tuwe na bumu letu tutakufa jamani..
ila kweli tutawafilisi maana majobless tumejaa kila kona nchi hii hadi january makamba sasa hivi ni majobless....🤣 🤣😂🙌🏾 Tutawafiris ifike hal kam ile ya kenya igome kutoa mikopo tena
hivi kiongozi unaujua mtihani au unasema?Sasa ili upande daraja c ina maanisha uwezo wako umekuwa mkubwa, sasa kwann unashindwa kuonyesha kuwa uwezo wako umekuwa?
Sasa kama mtihani utabase kwenye field yao, hapo la kuogopa n kitu gani?
Yn ni sawa na waalimu walivyokuwa hawataki usaili, kama mtu umepambana na shule, chuo, mitihani na mengineo kwann uogope mtihani wa dkk chache tuu wakati tayari umeshakwepa mishale mingi nyuma.
Kwan ukisikia neno mtihani unaelewa nn?hao watumishi Wana mifumo inayowapima watumishi kwenye majukum yao, kwanin wasitumie huko kupima uwezo wa mtu katika utekelezaji wa majukum mpaka uje umpime uwezo wake Kwa mtihani wa siku Moja masaa machache!?
Maelezo ya kipuuzi sana.Kwan ukisikia neno mtihani unaelewa nn?
Inawezekana hiki ☝️ ulichokiandika ndio mtihani wnyw.
Mm kushindwa kupata kazi pamoja na kufanya mitihani/saili kadhaa sidhani kama ni hoja ya msingi mana pale tunakuwa wengi wenye uwezo tofauti ila kwenye hii ishu ya watumishi ni wanakuwa wao wnyw kwenye cycle inayowafahamu vzr.
Upo sahihi mkuuMaelezo ya kipuuzi sana.
Ingia kwenye tovuti www.ajira.go.tz bila shaka wameweka pia akaunt yajo watakuwa wame updateWakuu ni lini UTUMISHI watatoa ratiba ya kwenda kufanya interview MDA&LGA kwa tangazo la tarehe 19/07/2025 maana waliandika watatoa ratiba kamili kwa kila Kanda na sehemu za kufanyia interview
Ukishaomba kazi tu. Vitu vyote kuanzia ratiba za usahili , ufaulu mpk placement unavipata kwenye account yako.Wakuu ni lini UTUMISHI watatoa ratiba ya kwenda kufanya interview MDA&LGA kwa tangazo la tarehe 19/07/2025 maana waliandika watatoa ratiba kamili kwa kila Kanda na sehemu za kufanyia interview
Naingia kila siku sioni ratibaIngia kwenye tovuti www.ajira.go.tz bila shaka wameweka pia akaunt yajo watakuwa wame update
Halikuhusu hilo hahahahahhakuna pdf