John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,224
- 16,367
Mkuu hujaelewa nilichokua nazungumza n nnBora useme wewe
Wenzake tupo huko Halmshauri ya Moshi vijijini tunajilia chaki zetu bila wasi.
Mkuu hujaelewa nilichokua nazungumza n nnBora useme wewe
Wenzake tupo huko Halmshauri ya Moshi vijijini tunajilia chaki zetu bila wasi.
Hahaha daah ok anyway mtaftaji hakatYeah hakika hakuna kukata tamaa..
Daah aiseee Mungu afanye wepesi kwakweli ama ndio mwakani mwezi kama huu..Tena kama ndo ingekuwa ni hawa MDAs & LGAs, mapema sana ungeshatikisa nyavu
Moshi vijijini sehemu gani huko?Bora useme wewe
Wenzake tupo huko Halmshauri ya Moshi vijijini tunajilia chaki zetu bila wasi.
Mungu ni mwema sana usijali mkuu mambo yatakuwa sawa. Kikubwa endelea kuzidisha maombiHahaha daah ok anyway mtaftaji hakat
Daah aiseee Mungu afanye wepesi kwakweli ama ndio mwakani mwezi kama huu..
Hakika ndugu yangu ngoja tusizidishe maombi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾Mungu ni mwema sana usijali mkuu mambo yatakuwa sawa. Kikubwa endelea kuzidisha maombi
MaboginiMoshi vijijini sehemu gani huko?
Labda urudie tena mkuuMkuu hujaelewa nilichokua nazungumza n nn
Nilikua naongelea kuhusu received kwenye ajira portal kwa walimu zimekua ngumu kupata nje ya taaluma yetuLabda urudie tena mkuu
Jirani na shamba la miwa TPC.. 😄 😄Mabogini
Kama wewe hujasoma chuo icho ktk elimu yako jitahid ufatilie usisubir simu tuu Kama week tatu zimepita nenda kahoji uanze pata ata za kujikimuWakuu nilipata placement udsm kwenye pdf ya tarehe 1 mwezi wa saba,kama kawaida huwa wanatoa siku 14 za kuripoti,hatimaye nikaenda kuripoti tarehe 8 ya mwezi wa saba,kisha baada ya hapo nikaambiwa nitapigiwa simu ndani ya wiki tatu lakini mpaka hivi leo naona kimya,je inakuwaje wakuu maana naona sielewi elewi kabisa.
Duuh una means nafas yake anaweza kupewa mtu baki ?Kama wewe hujasoma chuo icho ktk elimu yako jitahid ufatilie Sana Mana Kuna wengine walishanza na kazi
Huko hukoJirani na shamba la miwa TPC.. 😄 😄
Hiki kitu hakipo mkuuDuuh una means nafas yake anaweza kupewa mtu baki ?
Na ndio hapo nilitak kushangaa kwasababu mtu ukiambiwa subiri utapigiwa ni utapigiwa hata ikipita miez 5 watakupigia tuHiki kitu hakipo mkuu
Kuwa na imani utapata.Nilikua naongelea kuhusu received kwenye ajira portal kwa walimu zimekua ngumu kupata nje ya taaluma yetu
Placement is rightful yours.Duuh una means nafas yake anaweza kupewa mtu baki ?
Mimi nilipigiwa baada ya miezi kadhaa.Na ndio hapo nilitak kushangaa kwasababu mtu ukiambiwa subiri utapigiwa ni utapigiwa hata ikipita miez 5 watakupigia tu
70 kwa maana ya oralUnajua interview ya assistant lecturer inahitaji marks ngapi
Shukrani sana sana mkuu, tupo pamoja..!!Huko huko
Karibu tuwafundishe watoto somo la kuandika.
Mbaga hivi kwani bado tu hujapata kazi Gavoo?Kwan ukisikia neno mtihani unaelewa nn?
Inawezekana hiki ☝️ ulichokiandika ndio mtihani wnyw.
Mm kushindwa kupata kazi pamoja na kufanya mitihani/saili kadhaa sidhani kama ni hoja ya msingi mana pale tunakuwa wengi wenye uwezo tofauti ila kwenye hii ishu ya watumishi ni wanakuwa wao wnyw kwenye cycle inayowafahamu vzr.