Mbona bado na nyingine zipo tuuKuna nafasi za utumish za mda lga Kuna kada naona hawaitwii sjui wanachakachua ama vipi, Yan kada zote zimeitwa isipokua hio sijaelewa Kuna ishu Gani kwenye hio kada
Inategemea, me nilifanyiwa kwa 15 minutes.20 nyingi huko watu wanapewa 5 tu km hujajianda Out
Tra ana connection?Kuna mdogo wangu amechaguliwa Oral ya MDAs & LGA yeye yuko Lindi lkn anaona kazi za LGA kwake sio kipaumbele anataka kuforce TRA nimeshindwa kumshauri nawezaje kumuelewesha akubali kupiga oral za LGA akipata hata akipangwa Kibakwe huko aende tu.
Kaka yan zimebaki kada chache sana za MDA&LGA,ila kuitwa ndio kipengele sana . Hapo ikifika trh 2 mwezi ujao received itakuwa inafikisha miez nane.Kuna nafasi za utumish za mda lga Kuna kada naona hawaitwii sjui wanachakachua ama vipi, Yan kada zote zimeitwa isipokua hio sijaelewa Kuna ishu Gani kwenye hio kada
Naomba kueleweshwa wakuu,kwani hizi za LGA hakuna asali huko?na wanaposema ajira za tamisemi,ndio hao LGA au both LGA&MDA?Kuna mdogo wangu amechaguliwa Oral ya MDAs & LGA yeye yuko Lindi lkn anaona kazi za LGA kwake sio kipaumbele anataka kuforce TRA nimeshindwa kumshauri nawezaje kumuelewesha akubali kupiga oral za LGA akipata hata akipangwa Kibakwe huko aende tu.
Ipo ivi MkuuNaomba kueleweshwa wakuu,kwani hizi za LGA hakuna asali huko?na wanaposema ajira za tamisemi,ndio hao LGA au both LGA&MDA?
Ahsante sana mkuu nimeshiba maelezo yako,ubarikiwe sana Blood..ila TAMISEMI maana ake ni hao wote au LGA only?Ipo ivi Mkuu
LGA maana yake local government Authority ambapo inajumlisha Halmashauri na ngazi ya tarafa, kata na Kijiji alafu MDAs ni Ministry, Department, and Agency ambayo inachukua ngazi ya Taifa, kanda na mkoa
Ivyo unaweza Fanya saili kwenye tangazo la LGA and MDA lakini ukapangiwa popote pale inategemeana na vitu vifuatavyo
Uhitaji wa mwajiri kwa kipindi husika
Ufaulu wako ( apa ipo ivi unaweza Fanya saili alafu ukapata wastani wa kawaida kisha wenzako wakapangiwa LGA alafu Wewe ukabaki Data base ivyo ikatokea MDA wanataka mtu so utapangiwa Wewe, so kupangiwa MDA au LGA ni bahati tuu akuna uwakika wa moja kwa moja endapo tangazo la kazi likiwa na waajiri wawili Yani MDA and LGA)
Kuhusu asali LGA amna kilivyo maana wanasema wenyewe awazalishi mapato yoyote yale zaidi ya kutumia lakini kwa upande wa MDA wenyewe wanazalisha ivyo mshahara ni mkubwa na over time za kutosha plus malupulupu
Mwisho wa siku tusiache kuomba kazi na kufanya saili ata kama nafasi ni moja maana uwezi jua utaangukia wapi
Umesemq uleshibq maelezo yake kumbe bado una njaqAhsante sana mkuu nimeshiba maelezo yako,ubarikiwe sana Blood..ila TAMISEMI maana ake ni hao wote au LGA only?
Mkuu nashukuru mno..Umesemq uleshibq maelezo yake kumbe bado una njaq
TAMISEMI (TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA) ni kiswahili cha LGA (Local government Authorities)
BADO Una njaa?
Kuna mdogo wangu amechaguliwa Oral ya MDAs & LGA yeye yuko Lindi lkn anaona kazi za LGA kwake sio kipaumbele anataka kuforce TRA nimeshindwa kumshauri nawezaje kumuelewesha akubali kupiga oral za LGA akipata hata akipangwa Kibakwe huko aende tu.
Kuna jambo linanifilirisha labda naweza kuwashirikisha na nyinyi wadau kuhusu milihani ya online ya utumishi.
Hii mitihani ya online kada za ICT huwa yana maswali 50 ya kuchagua na ukizidisha kwa 2 kwa kila idadi ya maswali ambayo umefaulu ili upate juu ya asilimia 100 ni lazima upate namba shufwa.
Sasa namba witiri katika matokeo yanatokeaje?! Au kwenye mfumo wanaedit matokeo?
Na lingine kwa kipindi hiki matokeo unayotarajia huwa tofauti kabisa licha mtihani kuona umeuweza tofauti na zamani. Hii inamaana gani?
Ninamashaka na utumishi na mfumo wao wa ajiraportal huenda wanachezea matokeo.
Sawa nimekupata, tunaendelea kupambana.Habari mkuu PCGAMES
Nimepitia kwa makini ujumbe wako na pia nimekuelewa kwa nini unapata sintofahamu.
Issue iko hivi, ni kweli matokeo wanatoa katika asilimia (%), hivyo mategemeo yetu ni kwamba kwa maswali ambayo huwa hamsini (50) basi kusiwepo na asilimia isiyogawanyika kwa mbili (2).
Maswali ya kuchagua mara nyingi huwa yanataka kuchagua jibu sahihi zaidi kutoka katika machaguo waliyotoa. Hivyo basi kama utafanikiwa kuchagua jibu sahihi zaidi katika machaguo basi utapata alama mbili (2). Ukichagua jibu sahihi lkn si sahihi zaidi utapata alama pungufu ambayo ni moja (1). Tofauti na machaguo hayo hutapata alama yeyote.
Hii imewekwa ili kumsaidia mtahiniwa asipoteze jitihada zake alizotumia kusoma, ni sawa na kwenye calculations utapata alama za njia uliyotumia kupata jibu kama ni sawa hata kama jibu la mwsho umekosa.
Kipo Mji mwema, kutoka mjini si chini ya Buku 7 au 8 au hata 10 kukupeleka.Chuo cha TIA Mtwara kipo maeneo gani?
Nauli hadi mjini bei gan?
Kuna lodge nzuri atleast 15?
Naombeni nielekezwe
Nafikiri bado hawajatoka mkuuWaliotoka kwenye pepa, tupeane updates aina ya maswali jamani