Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,214
- 5,283
Jamaa hakuna pdf la waalimu geography, history kiswahili pdf ni za waalimu wa physics na hisabati na bios sijui wanacheza makida huko ofisiniHao jamaa ukiwapa dhamana lazima ufe kwa stress
Jamaa hakuna pdf la waalimu geography, history kiswahili pdf ni za waalimu wa physics na hisabati na bios sijui wanacheza makida huko ofisiniHao jamaa ukiwapa dhamana lazima ufe kwa stress
Eti wanacheza makida 😀😀😀 wapo wanajipongeza baada ya kazi ngumu ya usahili wa walimu .. hawa jamaa ni hopeless kabisaJamaa hakuna pdf la waalimu geography, history kiswahili pdf ni za waalimu wa physics na hisabati na bios sijui wanacheza makida huko ofisini
Au wanataka kumalizana kwanza na wale walimu wa biashara walioitwa tena hapa majuzi kati.. wale elfu 3.Mkuu jamaa miyayusho sana hakuna pdf la placement wala call for interview
Kwanza ofisin kwao hakujakosa mashetwani wale sio kwa mikausho hiyoEti wanacheza makida 😀😀😀 wapo wanajipongeza baada ya kazi ngumu ya usahili wa walimu .. hawa jamaa ni hopeless kabisa
Wale lazima mkuu maana ndio wale wa mtaala mpya wa serikaliAu wanataka kumalizana kwanza na wale walimu wa biashara walioitwa tena hapa majuzi kati.. wale elfu 3.
Mkuu hii ni kweli!?Milioni 6
Jamani mwenye link ya groups za customs naomba
dua yko mungu aipokeee..Mhafidhina07 mkuu ulishapata placements nini naona unapita kutoa likes 👍 tu aka conservative
Amen mkuu mwaka wetu huudua yko mungu aipokeee..
amiiinAmen mkuu mwaka wetu huu
Inakuaje wadau wa databaseKuna ubaya gani hapo,hata wewe kama hujiamini tutakuchekia vilevile
WamesusaOya wadau mbona jamaa wamezinda
Jauu aw Amna mpya kabixkwa kweli hawa mbwa wanazingua
kadri siku zinavyoenda wanazidi kuzinguaJauu aw Amna mpya kabix
Awatoi mkek awkadri siku zinavyoenda wanazidi kuzingua