El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,805
- 5,934
hii kauli ya mh waziri mkuu imenitisha sana
Watu ni wachache sana ukilinganisha na walimu au watu wa qfyaKwamba watu ni wachache waliokuwa shortlisted mkuu?
Kada mbalimbali hatuna chetu Tena 😄😄naona zimeanza kutoka za walimu plane..
haloo kumbe walikua wanatusogeza kwenye mfumo watulipueKada mbalimbali hatuna chetu Tena 😄😄
Na pia kwa nini matokeo ya alama yanachukua muda mrefu kutoka? Wakati mfumo unaweza kusahihisha na kutoa matokeo papo kwa hapo? Je muda wote huo lazima kuna namna wanachakachua.Kuna jambo linanifilirisha labda naweza kuwashirikisha na nyinyi wadau kuhusu milihani ya online ya utumishi.
Hii mitihani ya online kada za ICT huwa yana maswali 50 ya kuchagua na ukizidisha kwa 2 kwa kila idadi ya maswali ambayo umefaulu ili upate juu ya asilimia 100 ni lazima upate namba shufwa.
Sasa namba witiri katika matokeo yanatokeaje?! Au kwenye mfumo wanaedit matokeo?
Na lingine kwa kipindi hiki matokeo unayotarajia huwa tofauti kabisa licha mtihani kuona umeuweza tofauti na zamani. Hii inamaana gani?
Ninamashaka na utumishi na mfumo wao wa ajiraportal huenda wanachezea matokeo.
aisee utumishi matokeo hua wanayapanga hilo liko waziNa pia kwa nini matokeo ya alama yanachukua muda mrefu kutoka? Wakati mfumo unaweza kusahihisha na kutoa matokeo papo kwa hapo? Je muda wote huo lazima kuna namna wanachakachua.
ilitakiwa matokeo unayapata palepale unaposubmitNa pia kwa nini matokeo ya alama yanachukua muda mrefu kutoka? Wakati mfumo unaweza kusahihisha na kutoa matokeo papo kwa hapo? Je muda wote huo lazima kuna namna wanachakachua.
Ah ah upo sahihi apo kwenye namba witiri Mkuu maana Kuna mtiani ulikuwa na maswali 50 Cha ajubu waliokuwa selected wamepata 85 na chini ya apo not selected, sasa apa unajiuliza kwamba baahadi ya maswali Yana alama kubwa kuliko mengine au ni mfumo tuu umechezeshwa?Kuna jambo linanifilirisha labda naweza kuwashirikisha na nyinyi wadau kuhusu milihani ya online ya utumishi.
Hii mitihani ya online kada za ICT huwa yana maswali 50 ya kuchagua na ukizidisha kwa 2 kwa kila idadi ya maswali ambayo umefaulu ili upate juu ya asilimia 100 ni lazima upate namba shufwa.
Sasa namba witiri katika matokeo yanatokeaje?! Au kwenye mfumo wanaedit matokeo?
Na lingine kwa kipindi hiki matokeo unayotarajia huwa tofauti kabisa licha mtihani kuona umeuweza tofauti na zamani. Hii inamaana gani?
Ninamashaka na utumishi na mfumo wao wa ajiraportal huenda wanachezea matokeo.
Ndio maana wanasema twende veta kwa kuwa wanauhakika wa kupitisha watu wao.Ah ah upo sahihi apo kwenye namba witiri Mkuu maana Kuna mtiani ulikuwa na maswali 50 Cha ajubu waliokuwa selected wamepata 85 na chini ya apo not selected, sasa apa unajiuliza kwamba baahadi ya maswali Yana alama kubwa kuliko mengine au ni mfumo tuu umechezeshwa?
Mkuu hili swala hata mimi linaniumiza kichwa, inavyo onekana kuna watu wana pass kweli, ila kuna wengine wanawekwa iyo utake usitake.Kuna jambo linanifilirisha labda naweza kuwashirikisha na nyinyi wadau kuhusu milihani ya online ya utumishi.
Hii mitihani ya online kada za ICT huwa yana maswali 50 ya kuchagua na ukizidisha kwa 2 kwa kila idadi ya maswali ambayo umefaulu ili upate juu ya asilimia 100 ni lazima upate namba shufwa.
Sasa namba witiri katika matokeo yanatokeaje?! Au kwenye mfumo wanaedit matokeo?
Na lingine kwa kipindi hiki matokeo unayotarajia huwa tofauti kabisa licha mtihani kuona umeuweza tofauti na zamani. Hii inamaana gani?
Ninamashaka na utumishi na mfumo wao wa ajiraportal huenda wanachezea matokeo.
Hua ni tofauti, kwa kada yangu niliulizwa maswali tofauti ila yote ukiondoa swali la kwanza ambalo hua ni common la Kujielezea we mwenyewe mengine yalikua niya fani yanguHivi maswali yanayoulizwa kwenye written ndiyo hayohayo pia unaulizwa kwenye oral au kunakuwa na tofauti wakuu?
Asante sana mkuu, kwa hiyo kwenye maswali ya fani hapo ni yale ya kawaida juu ya uelewa wako kuhusu fani husika hayahusiani na madesa au lazima tena kukomaa na desa? Maximum muda ni dk ngapi?Hua ni tofauti, kwa kada yangu niliulizwa maswali tofauti ila yote ukiondoa swali la kwanza ambalo hua ni common la Kujielezea we mwenyewe mengine yalikua niya fani yangu
Mbungi inapigwa hapa-
- kwenye nchi hii wenye mishahara mikubwa sio wabunge tu mbunge analipwa 16m, mkuu Kuna Majaji, CEO wa mashirika makubwa, CEO wa mabenki na wafanyakazi waliofikia managerial cadre,makamishna wa TRA
- kama take home haifiki 5m ww si uache kazi ukawe kama diamond
- ofisa wa ngazi gani wa Tanroads anayelingana na mabosi wangu wa halmashauri? Mkurugenzi wa halmashauri huyo yupo level ya managerial cadre huyo alitakiwa alinganishwe na Meneja wa Tanroads mkoa na sio entry level wa Tanroads
Mkuu kula shule tuu sanaa, inasaidia kuongeza confidence, japo sometimes wanatoa maswali ya uelewa, lakini kula shule ni muhimu..Asante sana mkuu, kwa hiyo kwenye maswali ya fani hapo ni yale ya kawaida juu ya uelewa wako kuhusu fani husika hayahusiani na madesa au lazima tena kukomaa na desa? Maximum muda ni dk ngapi?
Soma kiongozi, maswali yanakua ndani ya modules ulizosoma kuanzia first year kwa level yangu mfano diploma waliniuliza maswali ma 5, na yote yalikua ya level 4, 5 na 6 wanachukua tu popoteAsante sana mkuu, kwa hiyo kwenye maswali ya fani hapo ni yale ya kawaida juu ya uelewa wako kuhusu fani husika hayahusiani na madesa au lazima tena kukomaa na desa? Maximum muda ni dk ngapi?
Kwa hiyo huko mjengoni. Kwa sasa unakula honoraria mkuu au unasubiri pdf ya majina?Soma kiongozi, maswali yanakua ndani ya modules ulizosoma kuanzia first year kwa level yangu mfano diploma waliniuliza maswali ma 5, na yote yalikua ya level 4, 5 na 6 wanachukua tu popote
Muda sana hua wanasema ni dk 15 ila mi kiukweli sijui hata kama zangu zilifika 10, nilikua na kiwewe, ilikua ndo mara yangu ya kwanza kuhudhuria Interview