HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Uhakika upo ni ipo chini ya UN lakin contract ikiisha miaka 3 kurenew sio rahis Sana maana katoka mtu Mimi ndio nikaingia
mdogo wangu nilivyosoma situation unayopitia kiukwel akilini likaja swala hili uliloliongelea hapa maana mm pia nimeshashuhudia hili, sasa fanya maamuzi sahihi ukiliweka hili kichwani mwako, nakutakia kila la kheri!!
 
Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.

But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.

Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.

Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Hongera sana madam ni kitambo sana but finally you made it. Ukawe mtumishi mwema
 
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Oyaa mzigo plus allowances total unasoma dola Ngapi? Piga hesabu kali kama NGO ya kibabe wanaishi na ww mbna
 
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Hongera sana mkuu kwa kuingia kundini.

Suala la kutoka NGO au kutotoka hayo ni maamuzi yako
 
Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.

But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.

Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.

Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Hongera sana na kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.

Pia shukrani kwa kuleta mrejesho
 
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
dav Hongera sana kaka nakumbuka ulikuwa ukilalamika sana mzee
 
Wakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.

Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.

Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.

Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.

Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.

ULUMBI
Hongera sana ,,ukawe mtumishi mwema
 
taasisi za umma kuanza kuwa huru kujiendesha rasmi mwisho wa mwezi huu ikiwemo kuajiri (kuanza na vyuo vikuu pamoja na taasisi za kibiashara) as long as wanameet expectations kama profit-Mchechu (msajili hazina)
Tujiandae kwakweli.
Kama ni kweli huu ni msiba mzito ndugu zanguni

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Nenda serikalini bro, thank me later

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Hongera Mkuu.
Ila kiukweli Halmashauri kipengele na hio 700k ni basic. Kama ulisomeshwa na Heslb unaweza lamba 400k kwa mwezi bila allowance yoyote.

Huo mshahara wa NGO utakaopata tu Kwa miaka 3 tu.

Kwa take home ya Halmashauri utaupata baada ya miaka 20.

Assume other stuffs remain constant.
Kwan sisi tulosomeshwa na bodi wanakata shingap Kwa mwezi wakuu

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
dav nenda Government mzee Tunakushauri kama watu Tunaokupenda NGos hazieleweki hizo kazi za Mkataba za NGos hizo hazina security kaka nenda serikalini..... nakumbuka ulikuwa unalalamika sana na Mungu kakusikiliza na kakujibu.... hilo ni kama jaribu umepewa fikiria kwa akili sana mzee
 
Huu uzi umepitia transition kadhaa na mpaka sasa wadau wengi humu ni watumishi wa umma, pongezi kwa Rais samia na utawala uliyopo aiseeh angalau sasa vijana wanapata ajira na fursa ambazo moja kwa moja wanasaidia familia ,ndugu na jamii kwa ujumla.

Miaka mitano bila fursa za ajira haikuwa mchezo aiseeh, now tunaona mpaka shuhuda wana wakisusia halmashauri hii ni dalili nzuri kwa sekta hii ya kazi nchini, hawa marais waswahili ukanda wa pwani wanaroho na utu mzuri ,kuliko cc wabantu wa mbwinde tukiupata uongozi tunasahau tulipotoka .

Nachotaka kumaanisha, sote hatuwezi fanikiwa kwa pamoja ,tukielewa hili tumeelewa maisha and still life goes on till we make it happen
 
Back
Top Bottom